Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Achana na huyo. Wewe unafikiri kila mtu anaamini Mungu? Points zako sio valid kwa kila mtu. Wengi tu hawaamini mambo dini.
Okay, sasa uniulize mimi ili nitoe mawazo yangu. Ila sijatoa hoja yoyote, nilijibu mawazo ya niliyemkwoti.
 
Ndoa ni hiari mzee, siafikiani na kataa ndoa maana hao ni wapiga puli wa kutupwa, wanaogopa wanawake dana, ila kuna sababu nyingi za mtu kutooa, usiwalazimishe.
Mkuu mbususu tunazila na tumezaa kitaa ila kuingia mikataba ya kinafiki na watu ndio watu hawataki
 
Mwaka huu mtanichukia sana, si wanaume wala wanawake. Sitajali maana lengo ni kujenga. Kidogo kidogo tutakaa sawa๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Ukila kijiti, wala hujali wakiongea hahahaha
 
jamaa hajaingilia uamuzi wa mtu,anasemea kampeni ya kataa ndoa,ndio sababu hata ameainisha aina ya watu anaofikiri wako nyuma ya kampeni hiyo.

ukiamua kukandwa kisamvu ni uamuzi wako,shida ni pale unapotafuta kuungwa mkono ndipo upinzani na mashaka huibuka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

ndoa ni jambo jema na lenye kupendeza mbele ya jamii,kama yalivyo mengine kama kufanya kazi halali,kutopenda ugomvi,kusaidia watu wenye uhitaji,kujenga nyumba nzuri ya kuishi nk.ni ishara ya kupiga hatua ktk maisha.
kama una mahusiano mazuri au yasiyo na mawaa na bado unahubiri kataa ndoa,bado una tatizo pia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
YESU hakuoa ana sababu za hayo,wala hakuna sehemu alinukuliwa akiinanga ndoa.
yule hakuwa muumini wa mbususu wala mipini kama wengi wenu humu.

sasa wewe hutaki ndoa una sababu zipi??
 
Mwaka huu mtanichukia sana, si wanaume wala wanawake. Sitajali maana lengo ni kujenga. Kidogo kidogo tutakaa sawa[emoji41][emoji41]
Vijana hatukatai mwanamke, hatukatai pussy ila tunakataa ndoa

Kama huwezi kuwajenga wanawake kuwa wake wema wa baadae sahau wanaume kuoa. Tutapiga mimba na kubakia kuhesabu tuu watoto huko nje.

Kataa ndoa wanahoja nzito, ukitaka kujua hoja zao wewe waangalie tuu wanawake vizuri utagundua kwanini vijana hawataki kuoa
 
hii ni sawa na kusakama mashoga na kuacha mabasha.

wanawake wanaharibiwa na wanaume hawa hawa,ambao kwa kujua namna walivyo waharibu hawasumbuki kuwaoa.
 
YESU hakuoa ana sababu za hayo,wala hakuna sehemu alinukuliwa akiinanga ndoa.
yule hakuwa muumini wa mbususu wala mipini kama wengi wenu humu.

sasa wewe hutaki ndoa una sababu zipi??
Mkuu,

Hakuna mtu aluyejibu swali langu mpaka sasa.

kama yupo baba mwenye mtoto wakike akiwa tayari kuona mtoto wake huyo anazalishwa na kutupwa kurudishiwa mzigo huo nyumbani ajitokeze hapa?

Hapa swali ni baba gani yupo tayari kuona mtoto wake wakike akifanyiwa jambo kama hilo bila kujalisha maamuzi ya mtoto atafanya nini.

Kama baba huyo yupo hapa ajitokeze.
 
mwanaume anayekimbia ndoa,ambayo jukumu kubwa ni utawala ambako kuna malezi huko ndani,atawezaje kulea akiwa mbali??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hakuna mtu mwenye hoja hata moja.

Kuna uzi mama samia akilalamika kwanini vijana hawaoi.
Wengi wanalalamika hali ya uchumi cheki ule uzi comment zake 98% ni uchumi.

sasa kama hawa wanaokataa ndoa sababu ya uchumi kwanini wasiweke time limit wao wanakataa ndoa kama statment yao ni mkataba wa DP WORLD ambao hauna kikoma cha muda.
 
ndio maana tunasisitiza(kataa ndoa)ni kampeni ya wavulana ambao uhakika hata kwa baba zao hawajatoka.

mtu mwenye familia na watoto hawezi kuwa na akili mbovu kiasi hicho.
 
huwezi kuwa na chuki kwa jambo jema na lenye heri,changamoto zake zitakufanya uwe na wasi wasi nalo tu lakini sio chuki.

wavulana wanakwambia kataa ndoa,na hawakupi sababu kwanini ukatae๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ