MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hiiiiiiii, huyo boya anaenda kuliwa kichwa siyo muda, keshaanza kupost mapema hivi hayaaaa.!Kuna mshikaji wetu alipokaribia kuoa mwaka jana mwezi wa 12, akawa anashinda bar analewaaaaa πππ Kuna muda unamuona yupo deep kwenye mawazo, nikamuuliza shida nini bro? Utasikia we acha tu! Hatimae akaoa zake na hivi wakishua harusi ilikuwa classic.
Sa hivi yuko busy kumpost wifi tuβ¦.. binafsi nikadhani labda mwanamke wake ni controlling, ndio maana jamaa alipata mawazo sana.
Wanaume wengi wataoa, ni suala la muda tu⦠iwe ndoa ya kanisani, msikitini, kimila au sogea tukae.
Hahaha kwanini unasema hivyoβ¦.Hiiiiiiii, huyo boya anaenda kuliwa kichwa siyo muda, keshaanza kupost mapema hivi hayaaaa.!
Tumtakie heri, au sio?Hawa kina Tuntufye wa Tukuyu na Manka wa Machame huwa hawafanyiwi hivyo, kuna jinsi ya kuishi nao.
Dogo anajifanya analata Puppy Love in Afrika, atalia siyo mida......
Weeh hebu niache, mimi sikufahamu kabisa!π€£Tumtakie heri, au sio?
Hujajibu swali langu.
Hayaβ¦ naunga dots ntakubamba mahali tu. πWeeh hebu niache, mimi sikufahamu kabisa!π€£
At your own risk sweetheart, at your own risk!Hayaβ¦ naunga dots ntakubamba mahali tu. π
Kijana wa hovyo baddest 47 anaimba kwamba...Hiiiiiiii, huyo boya anaenda kuliwa kichwa siyo muda, keshaanza kupost mapema hivi hayaaaa.!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kiasili kabisa wabongo mtu akiwa anapata raha au chimbo la pesa wala hawezi kuwashtua wana au kuwashauri .
Ila ndoa mnaipigia kelele eti mnapata raha , sema tu mnataka kila mtu aoe ili wimbi la kuchapiwa wake lipungue[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwanza naomba uelewe jambo Moja mkuu, Mimi sipo kwenye kampeni ya kataa ndoa, ila kwenye kufikiria na kujadili mambo, napendaga kuwa out of the box. Sifatagi ushabiki, naangalia hoja. Kwenye huu Uzi naonekana nipo upande wa timu kataa ndoa, kutokana na aliyeanzisha mada kushindwa kuwa na points zenye mashiko.Mkuu,
Hapana niliposema watoto wa mitaani husababishwa na ndoa tu.si kweli.
Nilikuwa najaribu kutafuta ratio tu.
sasa umeomyesha ujinga ambao sisi wanaume tunao hapo. Mtu yupo ndani ya ndoa na anaenda kuzaa nje ya ndoa kusababisha watoto ambao hawezi kuwalea.
sasa kama watu ambao wametengana kutoka katika ndoa husababisha watoto kuishia mitaani, huoni kwamba ustawi mzuri wa ndoa yaani mtu mume na mke kuwepo pamoja kutalipunguza hilo?
Embu twende hapa, wewe unasema kataa ndoa, umefikiria mtoto huyo atalelewa vipi ilihali takwimu zikionyesha wanaume ukimbia watoto?
Kataa ndoa, sawa embu fikiria mwanamke anayeolewa na mwanaume mwingine halafu mume yule hataki mtoto wa mwanamke yule na baba alishakimbia mtoto anakuwa katika hali gani?
sasa kama hizo ni outcome za ndoa, inaonyesha kwamba ndoa inapostawi ndio msingi bora wa taifa. Sababu pasipo ndoa kabla na baada huleta athari kwa watoto.
sasa kama ndoa ikivunjika husababisha watoto wa mitaani je mkiwa hampo pamoja prior to. Ndio hakuna madhara hasi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]subiri niutafute uzi nikuwekee usome
maana ntarudia aliyoyaandika
Sure ukimpata mtu sahihiKila mmoja ana maamuzi,mawazo yake hatupangiani
Japo kuowa ni jambo jema
We utakuwa kwenye penzi jipya ndio maana una hili wenge[emoji1787][emoji1787]Kijana wa hovyo baddest 47 anaimba kwamba...
Kupenda penda si tushakukataza, ukiachwa kula nyama nyamaza.
Ukizidisha kumtangaza, ipo siku tutakukuta angaza!
Yeah kuoa ni jambo jema IL shida Raia wanapotaka kuwaoangia watu namna ya kuishi.Kila mmoja ana maamuzi,mawazo yake hatupangiani
Japo kuowa ni jambo jema
mliooa mnawapenda wake zenu...mbona naona wengi wenu mmeongozwa na huruma ama ndumba wengi mmeoa vituko na hamvihudumii ipasavyo kama hawa tunaogawana nao huku nje...wengine tunatoka na nyie bar saa nane... full ku teas na mabar maid..makelele kelele hayaishi kwa nyumba...Najitolea kuwa katibu mwenezi,huwezi kuwa Mwanaume kamili afu ukakataa majukumu,
Hakuna Mwanaume asiyependa familia
Hakuna Mwanaume kamili asiyependa kumiliki mwanamke anayempenda,kataa ndoa ni mashoga au hayana nguvu za kiume,
Kama unaweza kutia kwelikweli lazima uoe
Mbona una pigo za kichokoAmbao hamtaki kuoa tutawaoa pia muwe nyumba ndogo ndio mnachotaka
Sio lazima kuingia mkataba.Mkuu mbususu tunazila na tumezaa kitaa ila kuingia mikataba ya kinafiki na watu ndio watu hawataki