Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako



Upumbavu na uelewa wako nimeuona hapa

"ataweza kuishi na mwanaume mwenye bilioni kumi kwenye akaunti? Je, anaweza kuzifanya zile bilioni kumi ziwe ishirini ama hamsini?"

- Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, hakika usioe, Hakuna mwanamke anaendeleza hela ya mwanaume, na wala hatuwaambii ziko kiasi gani, anahudumiwa vizuri, ila hategemewi kwa chochote cha maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…