Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Dar

Ishu hapa sio Malaya au kutokuwa Malaya

Kimsingi ,mwanamke Hana tabia ,tabia huikuta kwa mumewe au mwowaji

Ndgyetu ajitulize
Huwezi chepuka kama wewe sio Malaya.
Huwezi ukawa na akili kisha huwezi Malaya saikolojia ukataa.
Umalaya na ujinga ni pacha
 
Pindi wanaume wawili mnapogundua mnamahusiano ya kimapenzi na mwanamke mmoja
Yule anaebaki na huyo mwanamke ndo mwanaume dhaifu zaidi
 
"mume wangu hatulali chumba kimoja"😱😱😱😱😱Utalia siku moja.
 
Mbona kama wew ndio unakuusu ivii [emoji846]
hapana mkuu yaani kuna muda namuambia mwanangu achana nae uyo mtie blocku mwanangu anamuinea huruma hadi najikuta nalia maana mume wake uyo mdada anafanana na jina lako la mwisho
 
daah mbona mpka nimeogopa kumuambia hvyo mkuu

nimelia sana aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
Hatulali, tunapambana. Tunaumia, tunachoka, tunateseka, tunarudi nyumbani baada ya miezi 3 lwa kufight ili kesho yetu na familia zetu iwe nzuri alafu leo dogo mmoja mpaka rangi kucha za wanawake anajitamba kutembea na wake zetu kwa kuwa hatuna muda wa kukaa nyumbani, huku tumezaa na kuanza kujenga maisha ya watoto wetu.

Hakika tukimshika. Atashindwa kukaa wala kutembea maana lazima tumshughulikie hadi tuutoe utumbo wake (Upuru) nje.

Tunauchungu na maumivu tupitayo kwenye mapambano ya maisha.
 
mwanaume anaejitambua hachukui mke wa mtu
Ni sahihi. Katika kitu nilichokuwa nakiogopa na kukiheshimu toka ujana wangu hadi Umri huu ni wake za watu na wanafunzi. Namshukuru Mungu alinishindia na kunisaidia katika hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…