Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Nimeipenda hii comment yako, asante respect Mkuu.
 
Mi sijakuelewa bado, mleta mada kasema ana mtaji wa 10M, wewe unasema $100,000 na kuna sehemu umesema 2.5M inaweza pia kuwa mtaji hapohapo haumaji a/c ya chini ya $10,000. Nieleweshe naomba
 
Mi sijakuelewa bado, mleta mada kasema ana mtaji wa 10M
- Sahihi mleta mada amesema mtaji ni kati ya 5m hadi 10m
ww unasema $100,000 na kuna sehem umesema 2.5M
  • Toka kwa mleta mada mwenye mtaji wa 10m
  • Mimi nahitaji ONLY 2.5m

Ambapo
- Itatumika hiyo milioni 2.5 kupata account size kubwa kutoka prop firm
pia kuwa mtaji hapohapo haumaji a/c ya chini ya $10,000.
Kwenye Propfirm, kuna akaunti ndogo zenye thamani ya chini ya $10,000
-Ila kwa biashara yenye umakini, na mgawanyo mzuri wa faida kwa wiki, inashauriwa kuwa angalau akaunti ianzie $10,000 na zaidi, ndio sababu sichukui account chini ya kiasi hicho
 
Okey, kwa hiyo kwenye hiyo ya mgawanyo mzuri wa faida inakuwa $10,000 ya kweli au na yenyewe kibongobongo inadrop?
 
Okey, kwa hiyo kwenye hiyo ya mgawanyo mzuri wa faida
Mambo matatu inatakiwa yawe bayana.
1. Account size | Ambayo uta_trade ili kupata faida | mfano Trading account ni $10,000
2. Je asimia ngapi ya faida imepatikana toka initial balance ya trading account uliyopewa. | Chukulia kuwa faida iliyopatikana ni asilimia 5%
3. Je ni asilimia ngapi ya faida hubaki kwa prop firm | Kwa finotive hubakiwa na asilimia 40 - 45%

Utaona hapo trader anabakiwa na asilimia 55%
- Hiki kiasi ndio chako wewe trader.


Hivyo ukifanya hesabu hapo juu, utabaini kadri ambavyo trading account ni kubwa basi na % zako za faida inakuwa kubwa
 
Okey, kwa hiyo kwenye hiyo ya mgawanyo mzuri wa faida inakuwa $10,000 ya kweli au na yenyewe kibongobongo inadrop?
NB | Uwe unahariri ujumbe kabla ya ku_post, imeniwia vigumu kuelewa nini hasa unahitaji kujua
 
NB | Uwe unahariri ujumbe kabla ya ku_post, imeniwia vigumu kuelewa nini hasa unahitaji kujua
Namaanisha, inatakiwa Tzs ngapi kupewa a/c ya $10,000 na hao propfirm? Maana angalau a/c ya $10,000 ina mgawanyo mzuri wa faida kwa mjibu wa maelezo yako
 
Na vp hawa jamaa hawawezi kuunguza a/c makusudi ili wabaki na pesa za traders?
Wewe. utakayekuwa una_trade account husika, ndio unaunguza account, sio wao. Wao wanatoa mtaji na wanahitaji mgawane faida, inayopatikana.
Tofauti kati ya standard na Aggreaive a/c ni nini hasa?
Tofauti iko kwenye DrawDown limit | Aggressive drawdown limit ni mara mbili ya Standard.
 
Mi Nina Uzoefu Na Mambo Ya Photoshoot na Videoshoot Nipo Mbeya Kama upo Tayari karibu Nikupe Mchanganuo Mzima wa Hiii Biashara ivyo
Call or Whatsapp 0710550860
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…