Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

hii kazi ya neno nafanyaga kwa wapendwa ni ngumu sana mama yangu wa kiroho Joannah ,

wanafunzi ni wa aina tofauti kama hivi sasa dah...

Yesu alikua nao 12 tu lakini alipata tabu sana...

nisamehe bure mtumish Lamomy ntafanyaje sasa..
Yani ww una sura nyingi km agano la kale.!!
Weka balance tujue tunakusaidiaje kuongeza zingine km hizo 😜
 
Naam mkuu umenena vyema..
 
Yani ww una sura nyingi km agano la kale.!!
Weka balance tujue tunakusaidiaje kuongeza zingine km hizo 😜
Marko 4:8
Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri, zikaota vizuri na kukua, zikatoa mazao, moja mara thelathini, nyingine mara sitini, na nyingine mara mia moja.”

Sote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu.
Mungu ni mwema sana kwetu sote, atatatufanikisha katika yote...
 
Mkopo kutoka Bank flan flan
😂
 
Nasikia kizungu zungu nikisoma maandishi marefu km haya.!!
Ngoja niende lunch, nikirudi ndio nisome
 
Nasikia kizungu zungu nikisoma maandishi marefu km haya.!!
Ngoja niende lunch, nikirudi ndio nisome
Mungu akubariki sana wewe, chakula na kinywaji utakacho tumia, ule na unywe ili upate nguvu na afya za kumtumikia Mungu, familia na wahitaji mbalimbali daima.....
Aimen.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…