Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Mkuu hongera sana, unaonaje ukinitoa hiyo laki nane
 
Sio za kwako
 
nilijua wanawake ndo wana wivu.kumbe wanaume umezidi .mkali ajabu hongera sana
Na mi nimeshangaa wanaume wamejawa makasiriko na huu uzi wa mwanaume mwenzao.?!! Ilitakiwa wajibu mashambulizi kwa kutuwekea screenshot za kutosha, watuonyeshe wanawake mwanaume sio kumiliki p*mbu tyuu 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…