Kimsingi mpaka sasa Milion 200 haina mpinzani. Tutafuta pesa.Aya jamanii 200mil hiyoo
Mwenye 500mil 1bil aweke wapi Depal Dr Lizzy mshamba_hachekwi Maghayo Tayana-wog Extrovert Saint Anne Mahondaw Smart911 RRONDO@Mideko
π€£π€£π€£ wanaguna mpk mate wanayaona ya uchungu kumezaHahahahaha wenye hawapo hapa,wanasomaga comments na kuguna tu,,,,,,
ndio mtumishiπ na dollar zipo?!
Hebu screenshot moja hapa tuamini km kweli
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ wanaguna mpk mate wanayaona ya uchungu kumeza
Ewaaaah!! πππ huyo mwamba kaua, bado hajapata wa kumfunika mpk sasa..!!!View attachment 2882378
Huyu Mwamba kaua.
Weka tuone, maneno kidogo screenshot ziwe nyingi πndio mtumishi
Kabisa πMama mchungaji uko makini, unafatilia km bunge la bajeti.!! Hutaki kutoa macho pembeni πππ
hongera sana mjuba,hongera sana jamaa, mi kwa sasa ninachoshukuru sina anaenidai hata mia, niko na afya njema na harakati ndogo ndogo zinaenda Alhamdulillah
Hongera,hongera sana jamaa, mi kwa sasa ninachoshukuru sina anaenidai hata mia, niko na afya njema na harakati ndogo ndogo zinaenda Alhamdulillah
π πhata ming"ombe imenona mabaya sana aisee tajiri....
Hahahahaha yaani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaguna mpk mate wanayaona ya uchungu kumeza
Mmeanza propaganda zenu π€£π€£π€£hongera sana mjuba,
kausha damu akupishilie mbali japo anakunyemelea...
HongeraKijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.
Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.
Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?
Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?
View attachment 2881850
Lakini Thomas hakuwa hapo wakati huo. Wanafunzi wenzake walimwambia kwamba walimwona Bwana, lakini Thomas alisema, "Nikiona alama za misumari mikononi mwake, na kuweka kidole changu ndani ya hizo alama, na kuweka mkono wangu katika ubavu wake, hapo ndipo nitakapomwamini."Weka tuone, maneno kidogo screenshot ziwe nyingi π
Weka yako tuone,.Subiri midangaji na mi single mama ya JF ikujalie inbox kuomba ruzuku na kukuahidi maajabu ya dunia
Kheeeeee!Ngoja niwe mtazamaji ma-don wa jf waoneshane umwamba! Kuona penzi litazaliwa soon ngoja wafike