Keshoyangu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 365
- 1,082
Kadri mwanaume anazidi kupata fedha ndio nafasi ya kuoa mwanamke wa hali ya chini/masikini inapungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli. Tajiri, mtu kati na maskini wote wanahitaji pesa. Tena wenye pesa wanahitaji pesa kubwa zaidi. Michango mikubwa mikubwa.Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
Kudadadeki..ukioa sasa si ndo balaaMimi nilishtuka mapema ...yaani binti hujamtolea hata mahari ndugu zake washaanza kukuletea shida..eti ohooo mara shem niongezee mtaji nataka nifungue genge la matunda,
Kulia shida ni tabia ya mtu, sio hali ya mtu.Faida ya kwanza unapunguza wategemezi watu, watakao kuwa wanakulilia shida zao mara kwa mara
Ukweli mchungu....hamna namnaKwa hiyo una maana kwamba maskini asimpende maskini,,,? Au hiyo imekaaje,,,?
Hata Mtume Mungu ameeleza hivi kwenye Uislam. Mungu habahatishiKijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
Ukiridhika naye oa, yaani ujihakikishie kwenye uzuri, dini, familia yake, na ukwasi wakeKwa hiyo una maana kwamba maskini asimpende maskini,,,? Au hiyo imekaaje,,,?
Panua fikra zako mkuuTafuta pesa wewe, mke hachaguliwi kwa kuangalia kipato cha baba ake😂.
Nyie ndio mnatumaga wake wakakope kwa baba zao.
Maisha yakiwashinda mnarudisha mpira kwa baba mkwe😂 tumekushtukia mkuu.
Kwani hupendi kutoa mkuu?Faida ya kwanza unapunguza wategemezi watu, watakao kuwa wanakulilia shida zao mara kwa mara
Akina babalevo wamezidi nchi hiiVijana saiz wanapenda mteremko, yaan wanavyopenda kupata wenye nacho. Ni hatar
Kipato cha chini wataolewa na nani? Hapo ni mipango na makubaliano ya mapena kabla ya kuanza kuishi pamoja la sivyo ndio majuto yanakuja. Unaweza kuoa mke anaetoka mazingira yeyote kama mtaelewana tuKijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.