Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Kipato cha chini wataolewa na nani? Hapo ni mipango na makubaliano ya mapena kabla ya kuanza kuishi pamoja la sivyo ndio majuto yanakuja. Unaweza kuoa mke anaetoka mazingira yeyote kama mtaelewana tu
Mkuu hili ni angalizo tu wala sio sheria...mpaka mimi kufikia kuandika hivi kuna kitu nimejifunza
 
Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
uo mwanamkea anayekunywa chai saa 5 kama wewe kwenu munakunywa chai saa 2 au saa 3
 
Ungesema na hicho kipato cha kati ni kuanzia kiasi gani [emoji276]usije ukawa unamaanisha Elfu 3
Uwezo wa kujikimu katika maisha ya kawaida ya mtanzania..mfano akihitaji kula nyama ataipata kwa muda, na pia hapa nazungumzia zile familia ambazo unakuta wana makazi ya kwao wenyewe yaani wamejijenga
 
Kama changamoto za masikini huziwezi izo za kipato cha kati utaweza
Baba mkwe anakuambia kijana wangu nisaidie 30mil kuna tender nataka niimalizie hapa nikilipwa nakurudishia 😳
Baba mkwe hawezi kukuomba m30 kama anaona kabisa huna fursa ya kuipata hiyo m30.......lakini pia kitendo cha baba mkwe kukuomba m30 ni kuwa una status ya kuwa na m30 au zaidi
 
Baba mkwe hawezi kukuomba m30 kama anaona kabisa huna fursa ya kuipata hiyo m30.......lakini pia kitendo cha baba mkwe kukuomba m30 ni kuwa una status ya kuwa na m30 au zaidi
Kwahio changamoto ni kila mahali
Hata ukioa familia maskini ukiwa unaombwa msaada ni kwamba wamekuona uwezo unao
 
Back
Top Bottom