Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Kweli aisee kuna mmoja nilimtomba dada yake mara mbili tu si akajua aisee, mara akaanza kuniita shemeji tena hata mbele za wana. Sijakaa vizuri akaanza kunigongea hadi pesa ya msosi kwa mama lishe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Jamani unatamka hivi kweli je uhalisia wako wewe SI unamdomo mchafu sana aisee hata taka la manispaa hafadhali
 
hahahahhahahahhahahahah boss kwanza hongera pili pole kwa kumpenda baba mkwe kisa una chetua mwanae basi una mtoa kidogo kidogo unadhani na yeye hataki kitonga kama wewe? humbu tufanye na wewe umechukuwa binti kihalali kwa ndoa unadhania baba akija dai hela ya bia na wewe ndani hamna hela ya unga uta toa? ndio mana tuna rudi kwenye point mishe zingine tuna zitaka wenyewe ulikuwa una mtoa mzee koz una juwa kuna jinsi ulikuwa una mhujumu binti yake na hutaki weka mambo wazi hahahahahahah.
 
Watakuelewa wachache sana
Matabaka hayatakiwi,

Masikini wataolewa na nani, na ilihali mwanaume masikini kukubaliwa na binti anayejiweza ni kasheshe, kwahiyo mnataka masikini waoane wao kwa wao?? hizo ni classes.

Tuchangamane tu

Na kuoa/kuolewa kisa kipato badala ya upendo,mwisho wa siku ni majuto.

Kama ni masikini na ananipenda pasi na shaka, naoa
Lakni sio nioe mtu kisa ni middle income au higher income alafu na hanipendi, WTF??.
 
Masking ataolewa na mwanaume tajiri, wewe masking unaoa masking yeye mkeo Hana neon ila ndogo wanaweza kukuchosha na hence mkakosana na mkeo. Ndugu wataweza kukukondesha kuliko hata hiyo mkeo. Na ndugu pia wana weza kuwa wanamsema mkeo kuwa kwanini kakubali kuolewa na maskini
 
Kama changamoto za masikini huziwezi izo za kipato cha kati utaweza
Baba mkwe anakuambia kijana wangu nisaidie 30mil kuna tender nataka niimalizie hapa nikilipwa nakurudishia 😳
Mimi siyo bank, alikuwa wapi kujipanga. Je nisingeowa mwanae, asintanie. Ntasaidia napo weza
 
Ni kweli kabisa ila watu si wanaongelea ushabiki tu, mtu utachelewa sana luendelea. Hata mimi nigekimbia, bora kuwa single mpaka upate mtu sahihi. Ila mech ndogo ndogo unapiga hata kwa kunnua🀣🀣
 
Haya mambo ya ndoa hayana formula...kitu cha muhimu na cha kuzingatia muwe na mtizamo sawa wa kidini na kimaisha....hayo mengine muombeni Baba wa Mbinguni atawafungulia njia
 
omba kupata mwanamke mwenye neema ya kufunguliwa milango ya kufikia hiko kipato.mbona mama zetu wameolewa kwao ni maskini na maisha tuliyonayo ni utajiri .
Siku zote ukiwa na mwanamke nuksi kwenye ziki utoboi hata kama kwao ni matajiri au maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…