Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Amina.
 
Mzee mwenzangu mimi sasa nimechoka, nimeona nipumzishe mapafu🀣🀣🀣
Hahaha.............Mzee mwenzangu mara hii umesahau gari bovu huvutwa na zima

Mimi hadi nifie kwenye kinanii 😜 (jokes)
 
Hahaha.....................wanasema maisha magumu, ndiyo maana wanaishi Kwa ku-bet

Hujaona hapo mmoja anasema shilingi elfu 10 anatengeneza mikeka 5 Kwa muhindi πŸ€—πŸ™Œ
😹😹😹 Halafu ndo usubiri ndoa kwa mtu aliyegeuza betting ajira thubutuuu 🀣
 
😹😹😹 Halafu ndo usubiri ndoa kwa mtu aliyegeuza betting ajira thubutuuu 🀣
Labda akutane na Mwanamke ambaye anaweza kumbadirisha

Kuna Wanawake wanajua kumbadirisha Mume, unakuta Mume alikuwa mtu wa kushinda vijiweni baada ya Kuoa unakuta anaacha

Unakuta Mume alikuwa na kawaida ya ku-bet, baada ya Kuoa anaacha betting

Usiogope Mjukuu, take your Man home and make him the best Father to your kids
 
Your browser is not able to display this video.
 
wewe hata 50 huna nakuchora tu.
 
Hahaha.............Mzee mwenzangu mara hii umesahau gari bovu huvutwa na zima

Mimi hadi nifie kwenye kinanii 😜 (jokes)
Gari hili limekuwa scrapper, halifai tena, nitakuja kuaibika Mzee mwenzangu. Habari ya kubustiwa nusu saa mtoto anasikilizia mzigo ukae sawa sitaki tena🀣🀣🀣🀣japo mimi nikitaka ni 35+, hawa gen z nakuachia wewe🀣
 
Simple mwanamke anayekupenda kamwe hatokuonesha tamaa ya pesa wala kulialia matatizo kila Leo ukiona hivo jikatae mapema umwache aendelee kujiuza kwa wengine ambao anaona wanamfaa
 
Mimi mwanaume wa kumbadilisha sitaki, muda ni mchache aje akiwa na akili timamu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…