Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha,kimbia fasta toka nduki ...Kama kaajiriwa mbali na nyumbani sawa. Ila eti mtu ni mpambanaji anaishi mwenyewe mjini afu tena ana watoto/mtoto. Kimbia nakushauri we kimbia (kwa sauti ya Langa kileo)
Kuna wanaume hawaa akili sasa sijui wataishj nao vipi?Muongozo ni mmoja tu kuishi nao kwa akili.
Mbona kawaelezea hapo juu au haujasoma post?Sasa vipi kuhusu wale wanajitegemea kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wao wa kukaa na familia zao mfano kazi n.k!?
Mwisho watu wanajilia kimasihara na kiselaBinti akiishi mwenyewe bila muongozo kupotea ni rahisi sana,na changamoto za mahusiano zimekuwa nyingi kwa sababu uoaji wa hovyo umekithiri vijana wanaoa wavuta shisha,wapigwa three some wadangaji etc.
Binti akiwa chini ya familia hawezi kukaa nje ya nyumba mpaka saa nne usiku but akiwa na ghetto lake atakesha mpaka asubuhi sasa huko kukesha ndiko atavutishwa bangi,unga kunywa pombe kali na takataka nyengine akifika umri wa ku-settle akikutana na kijana innocent anamuektia utulivu akiingia ndoani ndipo mume anagundua kumbe alioa teja,levi na mal.aya.
Mimi hata nilikuwa sijui wala sijawahi kuwaza kama nao kun watu huwa wanawaoa
Acha watesekeKuna wanaume hawaa akili sasa sijui wataishj nao vipi?
Amini alichoandika mleta mada hapo juu ana point.Ndio mkuu!
Mi naamini hivyo,juhudi zozote zinategemea mpaji kama amekubali kukupa au kutokupa!!
Kuna watu walianza vizuri sana yaani kama Romeo na Juliet lakin waliachana ghafla!!
Ili ndoa idumu lazima mmoja avumilie ubwege was mwingine lakini kama hataki kuvumilia mwisho unafika!!
Hao wanaliwa sana na ndiyo hao wanapigwa picha wakigongwa zaidi sana wakifi.rwa kwa sababu muda mwingi wanakutana na wahuni na wanakuwa na muda wa kuwasikiliza.Mwisho watu wanajilia kimasihara na kisela
Hawa hapaBinti akiishi mwenyewe bila muongozo kupotea ni rahisi sana,na changamoto za mahusiano zimekuwa nyingi kwa sababu uoaji wa hovyo umekithiri vijana wanaoa wavuta shisha,wapigwa three some wadangaji etc.
Binti akiwa chini ya familia hawezi kukaa nje ya nyumba mpaka saa nne usiku but akiwa na ghetto lake atakesha mpaka asubuhi sasa huko kukesha ndiko atavutishwa bangi,unga kunywa pombe kali na takataka nyengine akifika umri wa ku-settle akikutana na kijana innocent anamuektia utulivu akiingia ndoani ndipo mume anagundua kumbe alioa teja,levi na mal.aya.
Mimi hata nilikuwa sijui wala sijawahi kuwaza kama nao kun watu huwa wanawaoa
Hahahahahaha, wahuni sio watuHao wanaliwa sana na ndiyo hao wanapigwa picha wakigongwa zaidi sana wakifi.rwa kwa sababu muda mwingi wanakutana na wahuni na wanakuwa na muda wa kuwasikiliza.
Mwanamke ni kiumbe kimoja cha hovyo sana kisichoujua umuhimu wake.Hawa hapa View attachment 2876476
Umeandika mengi sana huo ni mtazamo wako lakini mimi humo nilimo-bold,usije ukamshauri mwanao kuoa mwanamke kwa sababu amempenda mshauri amuoe kwa sababu ameona ndiye anayefaa kumuendelezea kizazi chake.Unataka kufundisha watu ujinga mtupu wakati wewe mwenyewe hujielewi. Hivi unajua madhara ya binti anaeandamana au kushea kila kitu na mamske ni mwanamke wa aina gani?
Unajua kila kitu mtachotofautiana atamshirikisha mamske kitu ambacho sio sahihi kwenye ndoa?
Hivi wewe unaweza somesha binti yako umemwaga pesa kwa elimu yake halafu aje akae nyumbani kwa babake na mamake asuburie kuolewa?
Suala la mahusiano halihusiani kbs na uwepo wa mwanamke au mwanaume mjini au kijijini nyumbani au maofisini. Ishi hapa ni nani anamchukua nani kwa kuangalia kupendana sio mali. Unataka kuoa binti anaekaa na baba na mama au unataka kuoa mwanamke kwasababu umempenda?
Acha kuvuka daraja kabla hujalifikia, ingia kwenye ndoa uishi kwa miaka 5 ndio uzungumzia maisha ya ndoa.
Wewe ni mwanaume wa dar. Huwezi elewa.... Basi unaona umeandika points. Sema haya uliyoyaandika mbele ya wanaume wenzako watakucheka na wakikuweza watakupiga vibaoUnataka kufundisha watu ujinga mtupu wakati wewe mwenyewe hujielewi. Hivi unajua madhara ya binti anaeandamana au kushea kila kitu na mamske ni mwanamke wa aina gani?