Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hivi kumbe wa 70 nao wamepigania uhuru🙄?Sasa nyie mlio zaliwa 70s na 80s mimi wa 20s nitawashauri nini? Nyie ni wapigania uhuru Ni sawa nawamfundisha mbwa mzee jinsi ya kubweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe wa 70 nao wamepigania uhuru🙄?Sasa nyie mlio zaliwa 70s na 80s mimi wa 20s nitawashauri nini? Nyie ni wapigania uhuru Ni sawa nawamfundisha mbwa mzee jinsi ya kubweka
Bado hutujui wanawakeNimesema kuna factor zinazoweza kumfanya Mwanamke akaishi mwenyewe na nimezisema. Hata hivyo inatakiwa iwe last resort/option.
Mwanamke inatakiwa awe na experience ya kuishi mbali na wazazi/walezi pindi akiolewa tu sio eti aamue akapange kisa ana uwezo wa kulipa kodi
OkaySasa hivi hata waliozaliwa bellow 95 wanaanza kuitwa wapigania uhuru. Kwa wanawake ni wakati wa waliozaliwa 2000 kushuka chini
HaijalishiKm ni mwanachama wa ccm he?
Nyie wanawake ni wabishi sana kamwe hamkubali ukweli. Mtoa mada yupo sahihi, mwanamke hatakiwi kuachiwa uhuru.Utakuja kulia vibaya wewe. Watu wanaishi geti kali na wanaruka ukuta wanaenda disco wanarudi saa 11 na wazazi hawajui kitu.
Mbona wanazalia nyumbani sasa[emoji23][emoji23][emoji23] na wapo kwenye mikono ya wazazi? Na wanarudi nyumbani mapema?
Oa mwanamke ambaye uhuru haumchanganyi. Sasa wewe oa mwanamke aliyefugwa kwenye cage siku usafiri apate uhuru uone atakavyoutumia.
Kaoleweni na waliowatoa bikiraKwa hiyo sisi tuolewe na nani?
Na ww utafute wa kukuoa bwana weeeh khaaa.Kaoleweni na waliowatoa bikira
Mwenye akili hata kama akiwa kwao utaiona tu akili yake. Au unamaanisha akili ya maisha ni mwanamke mpaka saa mbili ya usiku anazurura mtaani for nothing???Bado hutujui wanawake
Nasisitiza!
Bora anaishi mwenyewe na anaejielewa kuliko aliye chini ya wazazi lkn anaruka ukuta anarudi alfajiri!
Siku akiwa huru ndo utajua hujui!
Oa ambae mwanamke mwenye hofu ya Mungu,akili ya maisha,malezi kiujumla,ambae kwake kuwa huru sio issue!
Nk
Kwaiyo wote wanaoishi kwa wazazi wao wanatoloka kwa kuruka ukuta na kurudi asubuhi? Hao wanaotoroka na kurudi asubuhi ni percent ndogo sana ukilinganisha na percent kubwa sana ya pasua kichwa wanaoishi magetoni. Bila shaka wewe ni mwanamke wa geto na hapa unajitetea kimkakati.Bado hutujui wanawake
Nasisitiza!
Bora anaishi mwenyewe na anaejielewa kuliko aliye chini ya wazazi lkn anaruka ukuta anarudi alfajiri!
Siku akiwa huru ndo utajua hujui!
Oa ambae mwanamke mwenye hofu ya Mungu,akili ya maisha,malezi kiujumla,ambae kwake kuwa huru sio issue!
Nk
Kwahiyo akiwa kwa wazazi ndio anakuwa hayupo huru? Hao wanaobeba mimba wakiwa kwa wazazi wanazipataje?Nyie wanawake ni wabishi sana kamwe hamkubali ukweli. Mtoa mada yupo sahihi, mwanamke hatakiwi kuachiwa uhuru.
Sasa mimi na wewe nani alieleta hitaji la kuolewa hapa?Na ww utafute wa kukuoa bwana weeeh khaaa.
Mkuu Da’vinci,Waislam tuna wabeza ila linapokuja swala la ndoa kuna mambo mengi wanatuzidi na wako sahihi sana. Swala la mwanamke kua anatakiwa awe mama wa nyumbani mlea familia maana yeye ndio chanzo cha uhai ni sahihi sana.
Migogoro mingi kwenye ndoa inaanzia hapo mwanamke kuanza kuchukua nafasi ya kua mtafutaji wa familia badala ya mlea familia. Acha kabisa mawazo ya kutaka mke utakayesaidiana nae kiuchumi.. Stroke itakuhusu
Mim nishapata wangu tafuta na ww wa kukutoa hilo wenge😎Sasa mimi na wewe nani alieleta hitaji la kuolewa hapa?
Tunavyosema mwanamke anyimwe uhuru haimaanishi kwamba iyo itakua na ufanisi kwa 100% ofcourse waanga watakuwepo tu lakini kwa kiasi kikubwa itamaliza tatizo.Kwahiyo akiwa kwa wazazi ndio anakuwa hayupo huru? Hao wanaobeba mimba wakiwa kwa wazazi wanazipataje?
Huyu tutakuja kumvishe bikini khaaa.Umeanza ubabe wako 🤣
Vijana bado wanajifunza Mtumishi inabidi siku moya ushushe somo humuBado kumbe hamjatujua wanawake vzr
Mkuu Da’vinci.Rafiki wa binti ni mama yake, binti lazima awe anaandamana na mama yake zaidi ili aweze kujifunza upishi, Malezi, heshima na maadili. Huku baba yake akiwa pembeni kumuongoza as kichwa cha familia.