Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Unataka kufundisha watu ujinga mtupu wakati wewe mwenyewe hujielewi. Hivi unajua madhara ya binti anaeandamana au kushea kila kitu na mamske ni mwanamke wa aina gani?
Unajua kila kitu mtachotofautiana atamshirikisha mamske kitu ambacho sio sahihi kwenye ndoa?
Hivi wewe unaweza somesha binti yako umemwaga pesa kwa elimu yake halafu aje akae nyumbani kwa babake na mamake asuburie kuolewa?
Suala la mahusiano halihusiani kbs na uwepo wa mwanamke au mwanaume mjini au kijijini nyumbani au maofisini. Ishi hapa ni nani anamchukua nani kwa kuangalia kupendana sio mali. Unataka kuoa binti anaekaa na baba na mama au unataka kuoa mwanamke kwasababu umempenda?
Acha kuvuka daraja kabla hujalifikia, ingia kwenye ndoa uishi kwa miaka 5 ndio uzungumzia maisha ya ndoa.
Samahani lakini mkuu kama nitakua nimekukuosea kwa hiki nitakachokisema.

Usimuattack mtoa mada kiasi hicho kwani ana points za maana sana kama ukiamua kuzichambua kwa uangalifu na umakini. Japo si kwamba yupo sahihi 100% ila arguments alizotoa ni wazi kiuhalisia unaweza sema yupo sahihi kwa 90%.

Hivyo basi naomba niseme kuwa ulichoandika mm kwangu NI PUMBAAAA!
 
Utakuja kulia vibaya wewe. Watu wanaishi geti kali na wanaruka ukuta wanaenda disco wanarudi saa 11 na wazazi hawajui kitu.

Mbona wanazalia nyumbani sasa[emoji23][emoji23][emoji23] na wapo kwenye mikono ya wazazi? Na wanarudi nyumbani mapema?

Oa mwanamke ambaye uhuru haumchanganyi. Sasa wewe oa mwanamke aliyefugwa kwenye cage siku usafiri apate uhuru uone atakavyoutumia.
Kwa asilimia ngapi ukilinganisha na hoja ya Mleta mada, au kasema kuwa Ke wanaoishi na Wazazi wao ni Ke wema kwa 100% sawa na Malaika?
 
Bado hutujui wanawake
Nasisitiza!
Bora anaishi mwenyewe na anaejielewa kuliko aliye chini ya wazazi lkn anaruka ukuta anarudi alfajiri!
Siku akiwa huru ndo utajua hujui!

Oa ambae mwanamke mwenye hofu ya Mungu,akili ya maisha,malezi kiujumla,ambae kwake kuwa huru sio issue!
Nk
NAPINGA.
 
Mwenye akili hata kama akiwa kwao utaiona tu akili yake. Au unamaanisha akili ya maisha ni mwanamke mpaka saa mbili ya usiku anazurura mtaani for nothing???

Nikupe mfano
Siku moja nipo na jamaa angu bodaboda
Sasa tukiwa tunatembea akasema hawa wanawake unaowaona wanatembea hapa barabara hata kama kabeba mtoto wote wanajiuza. Nikabisha.

Akawa kila akikutana na mwanamke anamsimamisha anamzingua ili tujue kweli wanauza? Kwanza kabisa tukakutana na mmama mmoja age 40s yule boda akamwambia samahani dada naweza pata msichana wa kua nae usiku huu?? Yule dada naona alikua kalewa basi aliwaka akawa anasema. Wewe unataka msichana au unataka K***m?? Eti hakuna msichana huku wasichana wote wapo na mama zao jikoni muda huu. Ilikua saa tatu..

Unaona hata mdada anayejiuza anajua kabisa mwanamke ni wa kukaa na mama yake mapema yupo ndani anasaidia kuandaa chakula cha usiku
Mama akiwa Ke Mwema kwa Baba basi Binti ataakisi tabia ya Ke Mwema, hakuna ujanja ataoufanya Binti yeyote bila Mama yake Mzazi kujua, hata akijidanganya kuliwa na Mlinzi wa geti kali au House maid bado atabambwa tu maana foolish age anayopitia Binti hata Mama yake alipitia.
 
Kumekucha!
Kuna single mother ana 31 kaolewa december.
-hana shuguli ya maana mjini na kapanga almost 5years na mtoto ana miaka6
- amelelewa na mama tu wazazi wake waliachana akiwa shule ya msingi
-mwanaume akabadili dini kumfata mwanamke

hilo unalizungumziaje? mana mnatuchanganya
Me yeyote anayebadili dini sababu ya kuoa au kuishi na Ke kimahusiano tayari kashaasi UANAUME, Ke ndiye hupaswa kubadili dini sababu huwa chini ya Me kifamilia.

Me ni Kichwa cha familia na Ke ni Msaidizi/Mshauri wa familia.
 
Back
Top Bottom