Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Muda wote mawazo yangu yako kwako ila naona we hunifikirii kabisaWacha unapenda vinono haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wote mawazo yangu yako kwako ila naona we hunifikirii kabisaWacha unapenda vinono haya
Oh! Ngoja uje pm uongee hayaMuda wote mawazo yangu yako kwako ila naona we hunifikirii kabisa
Sasa mkuu, mimi mwenyewe nakaa kwa wazazi, halafu unataka nitafute mwanamke anayekaa kwa wazazi. Sasa si yutakufa kwa njaa mkuu? Au hujui zama zimebadilika?Salute
NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi.
Ningependa kuongea na vijana wenzangu hasa vijana wa 90s najua kipindi hichi wengi wenu mmefikia umri wa kuanziaha familia baada ya kujitafuta au ukiwa bado waendelea kujitafuta financially.
So kipindi hiki unatafuta life partner hasa kwa sie wagalatia ambao tukiweka tumeweka kama mabati ya chapa kiboko hamna kuachana basi jitahidi sana mwanamke unayetaka kuoa awe anakaa nyumbani kwao na kalelewa na wazazi wote wawili. Yaani wote wawe pamoja unless baba au mama alifariki recently (five years give or take)
Rafiki wa binti ni mama yake, binti lazima awe anaandamana na mama yake zaidi ili aweze kujifunza upishi, Malezi, heshima na maadili. Huku baba yake akiwa pembeni kumuongoza as kichwa cha familia.
Kama binti anaishi kwao kwenye familia iliyo na baba na mama lazima awe na misingi yote madhubuti ya Malezi.
Sasa imagine binti umekutana nae kwenye mwendokasi umempenda ukachukua namba wewe ukajaa ukatamani umfanye mkeo. Wakati huo anaishi zake mwenyewe geto... Kapanga anaishi mwenyewe hana ajira ya kueleweka labda yupo ofisi fulani. Anafanya tu mishen town.... My dear friend utajua hujui. Okopa sana mwanamke aliyepanga na anaishi mwenyewe kwenye majiji dume kama Dar, Arusha, Mwanza, Dodoma, Zanzibar, nk.
Atakua na shughuli zake ila lazima ziwepo za kando zinazohusisha wanaume(kudanga) angalua akiwa labda kapanga ajili ya kazi kwamba kahamishiwa eneo asilokua na ndugu au mbali na ofisi so anataka apange. Ila tu kama kapanga mwanangu usithubutu kuangukia ukijua umepata wife material unakua umepata stress material.
Binti inatakiwa akae nyumbani saa kumi nambili saa moja kasharudi nyumbani anafanya shughuli za nyumbani sio binti anazurura mpaka saa mbili for nothing hafu hakuna anayemuuliza nawewe unachukua unao... Litakukuta jambo bro!
Mwanamke inatakiwa unamchumua kutoka mikononi mwa wazazi/walezi wake wanakukabidhi unaenda kuishi nae as mke ndio inakua first experience ya kuishi mwenyewe nje ya nyumbani... Sasa unachukua mwanamke kashapanga mtaani miaka miwili mtaani afu unaoa. Hujipendi wewe tena mbaya zaidi awe age go... Utaipenda.
Mengine tutajuzana kwenye comment ila jambo la msingi, vijana mwanamke umtoe kwao sio geto na hakikisha nyote mmeanza mechi 0-0 hakuna mwenye mtoto unless nyote muwe na watoto.
Yangu ni hayo... Mwenye masikio na asikie! Mapenzi yasikuchanganye... Ndoa ni zaidi ya hizo hisia zako za mapenzi ulizonazo kwa huyo my wakoView attachment 2876477
Mwambie tu asije akukimbia😂 ukute kapenda mwandikoHuna mtu humu nisiingilie penzi la mtu halafu kweli unanipenda ???
Mwaka wako huu😂😂Ama kweli mpo kutuvuruga mwaka huu
Watu tukikaa nyumbani mnatuona legelege hatuwezi kujisimamia
Tukienda kupanga ili tuwe wapambanaji napo ni nongwa.
Huku vijembe vya Dullah Makabila Kwa Zailisa😂😂😂😀
Wanawake mmekua wengi kuliko wanaume inabidi na nyie muanze kutuvizia njia ya dukani mtusimamishe maana mmetutesa sana na sisi tupumzike sasaK
Huku vijembe vya Dullah Makabila Kwa Zailisa
Huku mara eti maua atakuchezea🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanawake mmekua wengi kuliko wanaume inabidi na nyie muanze kutuvizia njia ya dukani mtusimamishe maana mmetutesa sana na sisi tupumzike sasa
Ni hivi. formula ni oa mwanamke unayemjua kwa undani. Au kama umekutaka naye ukubwani basi chukuweni muda kujuana.Waislam tuna wabeza ila linapokuja swala la ndoa kuna mambo mengi wanatuzidi na wako sahihi sana. Swala la mwanamke kua anatakiwa awe mama wa nyumbani mlea familia maana yeye ndio chanzo cha uhai ni sahihi sana.
Migogoro mingi kwenye ndoa inaanzia hapo mwanamke kuanza kuchukua nafasi ya kua mtafutaji wa familia badala ya mlea familia. Acha kabisa mawazo ya kutaka mke utakayesaidiana nae kiuchumi.. Stroke itakuhusu
true trueAmini alichoandika mleta mada hapo juu ana point.
Binti ambaye hajazoea kujibizana na wanaume hovyo (anayeishi bado na wazazi wake) kujibizana na mumewe ndani ya ndoa ni tofauti na mwenye uzoefu wa kujibizana na wanaume(waliopanga) kwenye ma-bar,siku hizi wapo mpaka wanaobishana masuala ya mipira na kwenye mabanda ya mpira wanaingia.
Hao ni vitu viwili tofauti
Nimekuelewa ndugu. Mwanamke aliyepanga halafu hana kazi maalumu ni changamoto. Muda wowote anapandwaNb. Nategemea kupata upinzani mkubwa kutoka mwa wanume... Since watetea haki za wanawake wengi ni wanaume 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
MWANAMKE ANAYETOKA KWENYE MAMLAKA YA WAZAZI, NI RAHIS KUISHI KWENYE MAMMLAKA YA MUME.Nb. Nategemea kupata upinzani mkubwa kutoka mwa wanume... Since watetea haki za wanawake wengi ni wanaume 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwamba wewe ni wa 20s?Sasa nyie mlio zaliwa 70s na 80s mimi wa 20s nitawashauri nini? Nyie ni wapigania uhuru Ni sawa nawamfundisha mbwa mzee jinsi ya kubweka
Kuzalia nyumbani sio issue kiviiiiileUtakuja kulia vibaya wewe. Watu wanaishi geti kali na wanaruka ukuta wanaenda disco wanarudi saa 11 na wazazi hawajui kitu.
Mbona wanazalia nyumbani sasa[emoji23][emoji23][emoji23] na wapo kwenye mikono ya wazazi? Na wanarudi nyumbani mapema?
Oa mwanamke ambaye uhuru haumchanganyi. Sasa wewe oa mwanamke aliyefugwa kwenye cage siku usafiri apate uhuru uone atakavyoutumia.
Eti hofu ya mungu Tena hao ndio wa kuogopa kama ShetaniBado hutujui wanawake
Nasisitiza!
Bora anaishi mwenyewe na anaejielewa kuliko aliye chini ya wazazi lkn anaruka ukuta anarudi alfajiri!
Siku akiwa huru ndo utajua hujui!
Oa ambae mwanamke mwenye hofu ya Mungu,akili ya maisha,malezi kiujumla,ambae kwake kuwa huru sio issue!
Nk
Kwahiyo Hawa wanaoshinda kitambaa cheupe wakivuta shisha kutoka uswazi ndio wa kuoaSawa cousin wake Jesus [emoji23][emoji1787]
Endeleza darasa.
Ila chukua hii,, usiombe mtoto wa gate kali apate uhuru.