Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Samahani lakini mkuu kama nitakua nimekukuosea kwa hiki nitakachokisema.

Usimuattack mtoa mada kiasi hicho kwani ana points za maana sana kama ukiamua kuzichambua kwa uangalifu na umakini. Japo si kwamba yupo sahihi 100% ila arguments alizotoa ni wazi kiuhalisia unaweza sema yupo sahihi kwa 90%.

Hivyo basi naomba niseme kuwa ulichoandika mm kwangu NI PUMBAAAA!
 
Kwa asilimia ngapi ukilinganisha na hoja ya Mleta mada, au kasema kuwa Ke wanaoishi na Wazazi wao ni Ke wema kwa 100% sawa na Malaika?
 
NAPINGA.
 
Mama akiwa Ke Mwema kwa Baba basi Binti ataakisi tabia ya Ke Mwema, hakuna ujanja ataoufanya Binti yeyote bila Mama yake Mzazi kujua, hata akijidanganya kuliwa na Mlinzi wa geti kali au House maid bado atabambwa tu maana foolish age anayopitia Binti hata Mama yake alipitia.
 
Me yeyote anayebadili dini sababu ya kuoa au kuishi na Ke kimahusiano tayari kashaasi UANAUME, Ke ndiye hupaswa kubadili dini sababu huwa chini ya Me kifamilia.

Me ni Kichwa cha familia na Ke ni Msaidizi/Mshauri wa familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…