Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

Umeandika ujinga tuu. Relate na matajiri njoo uandike tena, siku ukimshirikisha mkeo kwenye kitu chochote cha maendeleo hakika utakwama

Labda kama umeoa Andazi.
Lakini kama umeoa MKE kamili lazima upate Maendeleo.

Alafu moja ya Sifa ya MKE Mwema na MKE Bora hawezi ishi na Mwanaume mjinga ambaye hajiamini, kitendo cha kumficha ficha ni ishara aidha hujiamini au humuamini. Na jibu lolote Kati ya hayo, hatokubali kuishi na Mwanaume asiyejiamini au asiyemuamini
 
Pana wanawake vimeo,utalikuta mtaa wa pili jambo lako.
Au wengine anakutamkia laana mambo YAKO
 
Ushauri kuntu
 
Maneno mazuri ukioa Bikira, ila hawa waliotumika wana mawazo ya ex wao. Akuzalie tu Watoto maendeleo fanya mwenyewe
 
Mwanamke mpanga bajeti huwa ni sumu kwa ndugu hasa wa kiumeni.. mgeni huwa aanapenda alivopokelewa day one iendelee hivo siku zote mboga na vyakula vya kawaida hawapendii matikeo yake lawama zinarud kwa mke hata km maamuzi ni ya wawili ila mwanamke analaumiwa yeye
 
Na hapo ndo inakuja concept ya wapi anajenga na wapi ana bomoa

Kusema mwanamke ana bad attitude bila kusema ni sehemu gani ana bad attitude ni kumuonea..

Mtu kama hana imani na wewe kusema utawez kumbadilisha napo ni kumuonea

Kila mtu kuna sehemu ana bad attitude kunasehemu ana good attitude..

Kwa kujua hilo jua wapi una deal nae vip??

Taikon nakubali sana kazi zako nyingi sana humu ila hata wewe mzee wa fasihi kama una reveal basi make sure ni sehemu ambazo Atajenga tu...
 

Ni kweli Kabisa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…