Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #101
bado hujaelezea ushirikina,Hii mada yako ya leo ni tofauti na zile nyingine, na nitapenda kuchangia kwa utulivu.
Kwani "Uchawi" ni kitu gani?
Mtu akitumia "rushwa" kupata uongozi , huo ni "uchawi"?
Mtu "akiweka bidii" kama unavyoeleza wewe kwenye 'uchawa' kutafuta upendeleo, huo ni "uchawi"?
Mtu akitumia imani yake, 'dini' kushawishi wenzake apate huo uongozi, huo ni "uchawi"
Mtu akitumia "ukabila" kushawishi watu wa kabila lake apate uongozi, huo ni "uchawi"?
Chama cha siasa, kikitumia mbinu na hadaa za kuwarubuni wananchi kuwapata viongozi, huo ni "uchawi"?
Chama cha siasa kikitumia vyombo vya dola kuwaweka watu kwenye uongozi, huo ni "uchawi"
Kiongozi mkuu wa nchi, akijiamria kuweka watu anaopenda kwenye nafasi za uongozi, huo ni "uchawi"?
Maana yangu hapa ni kwamba, wewe umeangalia sehemu moja tu, "uchawi" na kusahau mambo chungu nzima yasiyostahili kuwapata viongozi.
na pia hujasema Neema na Baraka za Mungu zinahesabika upande gani 🐒