Pre GE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

Pre GE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii mada yako ya leo ni tofauti na zile nyingine, na nitapenda kuchangia kwa utulivu.

Kwani "Uchawi" ni kitu gani?

Mtu akitumia "rushwa" kupata uongozi , huo ni "uchawi"?

Mtu "akiweka bidii" kama unavyoeleza wewe kwenye 'uchawa' kutafuta upendeleo, huo ni "uchawi"?

Mtu akitumia imani yake, 'dini' kushawishi wenzake apate huo uongozi, huo ni "uchawi"

Mtu akitumia "ukabila" kushawishi watu wa kabila lake apate uongozi, huo ni "uchawi"?

Chama cha siasa, kikitumia mbinu na hadaa za kuwarubuni wananchi kuwapata viongozi, huo ni "uchawi"?

Chama cha siasa kikitumia vyombo vya dola kuwaweka watu kwenye uongozi, huo ni "uchawi"

Kiongozi mkuu wa nchi, akijiamria kuweka watu anaopenda kwenye nafasi za uongozi, huo ni "uchawi"?

Maana yangu hapa ni kwamba, wewe umeangalia sehemu moja tu, "uchawi" na kusahau mambo chungu nzima yasiyostahili kuwapata viongozi.
bado hujaelezea ushirikina,

na pia hujasema Neema na Baraka za Mungu zinahesabika upande gani 🐒
 
Yule unaemdhamia kapata uongozi kwa nguvu zake mwenyewe kwa kumtumia Mungu "SIVYO " fanya utafiti wa kina. Ndio maana ya usemi kuwa "siasa ni mchezo mchafu " kuna kuchafuana na inabidi ujue hizo sabuni za kujitakasa.
 
bado hujaelezea ushirikina,

na pia hujasema Neema na Baraka za Mungu zinahesabika upande gani 🐒
Hapana, mimi sipo huko kabisa, na sipendi pia kuwekwa kwenye makundi, yawe ya kishirikina au ya kiimani.
Hiyo imani ni yangu binfsi na huyo ninayemwamini, sitaki kuwahusisha watu wengine katika maswala ya imani au kutokuwa na imani.
Hapana. Labda nielezee hili kivingine kidogo: Imani kuu ndani ya uhai wangu ni juu ya nchi yetu Tanzania. Na naamini kweli kweli, hata huyo/hao (Mungu/Allah/Namuhanga, etc aitwae kwa jina lolote lile kwa kila aina ya imani) atakuwa anawapenda na kulipenda sana taifa letu hili la Tanzania. Nikiamini kuwa hivyo ndivyo, sina hofu kabisa juu ya hizo imani zetu mbalimbali tulizo nazo wananchi wa taifa hili.
 
Mizizi ni muhimu sana katika kuwapumbaza Maadui sema Wataalamu wa Mizizi wanazidi kupungua Tanzania mambo yote Kongo ya Mashariki.

M23 Wanawatumia vilivyo.
 
Nasikia ndani ya CCM mambo ni hatari - watu wanatembea na viungo vya binadamu mifukoni na viunoni ili mama awaone.
 
Nasikia ndani ya CCM mambo ni hatari - watu wanatembea na viungo vya binadamu mifukoni na viunoni ili mama awaone.
hata mimi ndio naskia kutoka kwako, uchaguzi bavicha taifa nakia ushirikina ulikua nje nje bila kificho dah, hatari na nusu, vyeo tu 🐒
 
Mizizi ni muhimu sana katika kuwapumbaza Maadui sema Wataalamu wa Mizizi wanazidi kupungua Tanzania mambo yote Kongo ya Mashariki.

M23 Wanawatumia vilivyo.
kwahiyo m23 wanapumbazana na majeshi ya munusco au ya serikali?

au na wao ni kama ile tu ya mtemi Kinjikitile Ngwale na vita ya maji maji risasi kugeuka maji sio? 🐒
 
Uchawi unawezesha kupata madaraka, utajiri na umaarufu, sema ni dhambi kwa Mungu na kesho ahera watajibu, pia wanajisababishia laana (generational curses)wao na vizazi vyao adhabu inaanza hapa hapa duniani
 
Uchaguzi uliopita nilitia Nia na kuchukua fomu ya Ubunge.. Siku mbili kabla ya kikao cha uteuzi aliyeibuka mshindi alikusanya zaidi ya nusu ya wajumbe... Akawaambia kila mjumbe atapewa laki tatu.. Hizo laki tatu zilitolewa na mganga wa kienyeji kwa sharti kuwa kama hutampigia kura Bora laki tatu yake uiache.. Na kweli jamaa walimpigia kura na akashinda.. Ushirikina Bado una nguvu sana katika siasa zetu..
Sasa wewe kula hela afu usimpigie kura 😂😂
 
Uchawi unawezesha kupata madaraka, utajiri na umaarufu, sema ni dhambi kwa Mungu na kesho ahera watajibu, pia wanajisababishia laana (generational curses)wao na vizazi vyao adhabu inaanza hapa hapa duniani
unakua hata huna amani wala furaha ukipata utajiri au mali kishirikina. daima unakua mtu wa hofu, mashaka na wasiwasi. kujiamini panapotea kabisa 🐒
 
kwahiyo m23 wanapumbazana na majeshi ya munusco au ya serikali?

au na wao ni kama ile tu ya mtemi Kinjikitile Ngwale na vita ya maji maji risasi kugeuka maji sio? 🐒
Wale Wataalamu wa Mizizi wa Wamayimayi na wale wa Raia Mtomboki wote wamehamia M23.
 
Hapana, mimi sipo huko kabisa, na sipendi pia kuwekwa kwenye makundi, yawe ya kishirikina au ya kiimani.
Hiyo imani ni yangu binfsi na huyo ninayemwamini, sitaki kuwahusisha watu wengine katika maswala ya imani au kutokuwa na imani.
Hapana. Labda nielezee hili kivingine kidogo: Imani kuu ndani ya uhai wangu ni juu ya nchi yetu Tanzania. Na naamini kweli kweli, hata huyo/hao (Mungu/Allah/Namuhanga, etc aitwae kwa jina lolote lile kwa kila aina ya imani) atakuwa anawapenda na kulipenda sana taifa letu hili la Tanzania. Nikiamini kuwa hivyo ndivyo, sina hofu kabisa juu ya hizo imani zetu mbalimbali tulizo nazo wananchi wa taifa hili.
Imani yangu Ni Kwa Mungu mwenye nguvu sana,ananisimamia kila hatua, na ananipenda upendo, sijawahi kushindwa nikajiskia vibaya au kua myonge bali mwenye nguvu, jasiri na mshindi 🐒
 
Yule unaemdhamia kapata uongozi kwa nguvu zake mwenyewe kwa kumtumia Mungu "SIVYO " fanya utafiti wa kina. Ndio maana ya usemi kuwa "siasa ni mchezo mchafu " kuna kuchafuana na inabidi ujue hizo sabuni za kujitakasa.
Ni kutubu tu makosa na kusamehewa 🐒
 
Imani yangu Ni Kwa Mungu mwenye nguvu sana,ananisimamia kila hatua, na ananipenda upendo, sijawahi kushindwa nikajiskia vibaya au kua myonge bali mwenye nguvu, jasiri na mshindi 🐒
Juu ya hili tumekwisha malizana, sidhani kuwa nina la ziada ya hilo nililoelezea hapo juu.
 
wananchi wangu wakifurahi basi na mimi moyo wangu unafarijika na ninapata nguvu mpya zaidi ya kuwatumikia kwa bidii na weledi makubwa zaidi 🐒
Sa uchawa unautoaga wapi? Wanasiasa bana wanafiki sana.
 
Sa uchawa unautoaga wapi? Wanasiasa bana wanafiki sana.
mimi you can insults or call me wherever names as you wish ...

but ile kazi muhimu sana ya wananchi, siwezi zembea wala kufanya mzaha hata kidogo,

na maoni, mawazo na mtazamo wangu juu ya masuala mbalimbali ya maendeleo nchini kijamii, kisiasa na kiuchumi ama ya chama, serikali sikivu, kitaifa na kimataifa huwa sinaga mbambamba, siyumbi wala kutetereka kwa namna yoyote ile aise dah 🐒
 
Back
Top Bottom