Pre GE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
bado hujaelezea ushirikina,

na pia hujasema Neema na Baraka za Mungu zinahesabika upande gani πŸ’
 
Yule unaemdhamia kapata uongozi kwa nguvu zake mwenyewe kwa kumtumia Mungu "SIVYO " fanya utafiti wa kina. Ndio maana ya usemi kuwa "siasa ni mchezo mchafu " kuna kuchafuana na inabidi ujue hizo sabuni za kujitakasa.
 
bado hujaelezea ushirikina,

na pia hujasema Neema na Baraka za Mungu zinahesabika upande gani πŸ’
Hapana, mimi sipo huko kabisa, na sipendi pia kuwekwa kwenye makundi, yawe ya kishirikina au ya kiimani.
Hiyo imani ni yangu binfsi na huyo ninayemwamini, sitaki kuwahusisha watu wengine katika maswala ya imani au kutokuwa na imani.
Hapana. Labda nielezee hili kivingine kidogo: Imani kuu ndani ya uhai wangu ni juu ya nchi yetu Tanzania. Na naamini kweli kweli, hata huyo/hao (Mungu/Allah/Namuhanga, etc aitwae kwa jina lolote lile kwa kila aina ya imani) atakuwa anawapenda na kulipenda sana taifa letu hili la Tanzania. Nikiamini kuwa hivyo ndivyo, sina hofu kabisa juu ya hizo imani zetu mbalimbali tulizo nazo wananchi wa taifa hili.
 
Mizizi ni muhimu sana katika kuwapumbaza Maadui sema Wataalamu wa Mizizi wanazidi kupungua Tanzania mambo yote Kongo ya Mashariki.

M23 Wanawatumia vilivyo.
 
Nasikia ndani ya CCM mambo ni hatari - watu wanatembea na viungo vya binadamu mifukoni na viunoni ili mama awaone.
 
Nasikia ndani ya CCM mambo ni hatari - watu wanatembea na viungo vya binadamu mifukoni na viunoni ili mama awaone.
hata mimi ndio naskia kutoka kwako, uchaguzi bavicha taifa nakia ushirikina ulikua nje nje bila kificho dah, hatari na nusu, vyeo tu πŸ’
 
Mizizi ni muhimu sana katika kuwapumbaza Maadui sema Wataalamu wa Mizizi wanazidi kupungua Tanzania mambo yote Kongo ya Mashariki.

M23 Wanawatumia vilivyo.
kwahiyo m23 wanapumbazana na majeshi ya munusco au ya serikali?

au na wao ni kama ile tu ya mtemi Kinjikitile Ngwale na vita ya maji maji risasi kugeuka maji sio? πŸ’
 
Uchawi unawezesha kupata madaraka, utajiri na umaarufu, sema ni dhambi kwa Mungu na kesho ahera watajibu, pia wanajisababishia laana (generational curses)wao na vizazi vyao adhabu inaanza hapa hapa duniani
 
Sasa wewe kula hela afu usimpigie kura πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uchawi unawezesha kupata madaraka, utajiri na umaarufu, sema ni dhambi kwa Mungu na kesho ahera watajibu, pia wanajisababishia laana (generational curses)wao na vizazi vyao adhabu inaanza hapa hapa duniani
unakua hata huna amani wala furaha ukipata utajiri au mali kishirikina. daima unakua mtu wa hofu, mashaka na wasiwasi. kujiamini panapotea kabisa πŸ’
 
kwahiyo m23 wanapumbazana na majeshi ya munusco au ya serikali?

au na wao ni kama ile tu ya mtemi Kinjikitile Ngwale na vita ya maji maji risasi kugeuka maji sio? πŸ’
Wale Wataalamu wa Mizizi wa Wamayimayi na wale wa Raia Mtomboki wote wamehamia M23.
 
Imani yangu Ni Kwa Mungu mwenye nguvu sana,ananisimamia kila hatua, na ananipenda upendo, sijawahi kushindwa nikajiskia vibaya au kua myonge bali mwenye nguvu, jasiri na mshindi πŸ’
 
Yule unaemdhamia kapata uongozi kwa nguvu zake mwenyewe kwa kumtumia Mungu "SIVYO " fanya utafiti wa kina. Ndio maana ya usemi kuwa "siasa ni mchezo mchafu " kuna kuchafuana na inabidi ujue hizo sabuni za kujitakasa.
Ni kutubu tu makosa na kusamehewa πŸ’
 
Imani yangu Ni Kwa Mungu mwenye nguvu sana,ananisimamia kila hatua, na ananipenda upendo, sijawahi kushindwa nikajiskia vibaya au kua myonge bali mwenye nguvu, jasiri na mshindi πŸ’
Juu ya hili tumekwisha malizana, sidhani kuwa nina la ziada ya hilo nililoelezea hapo juu.
 
wananchi wangu wakifurahi basi na mimi moyo wangu unafarijika na ninapata nguvu mpya zaidi ya kuwatumikia kwa bidii na weledi makubwa zaidi πŸ’
Sa uchawa unautoaga wapi? Wanasiasa bana wanafiki sana.
 
Sa uchawa unautoaga wapi? Wanasiasa bana wanafiki sana.
mimi you can insults or call me wherever names as you wish ...

but ile kazi muhimu sana ya wananchi, siwezi zembea wala kufanya mzaha hata kidogo,

na maoni, mawazo na mtazamo wangu juu ya masuala mbalimbali ya maendeleo nchini kijamii, kisiasa na kiuchumi ama ya chama, serikali sikivu, kitaifa na kimataifa huwa sinaga mbambamba, siyumbi wala kutetereka kwa namna yoyote ile aise dah πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…