Newzealand360
Member
- Aug 10, 2022
- 88
- 122
Kelsea sweetie mpotezee au muignoreNext time ukiona vipi potezea comments zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kelsea sweetie mpotezee au muignoreNext time ukiona vipi potezea comments zangu.
Huwezi kulazimisha mke akupenda hata siku moja kama yeye anaona pesa yake ende kujanga kwao, jambo hambalo huwezi kugundua kabla ya kumuoa, na ni ujinga kumpa talaka kisa hela yake inaishia kwaoUpo sahihi Kama mumeokotana na hampendani.
Na hamjui nini maana ya Familia.
Siku zote familia yenye mfumo uliousema kamwe haiwezi kuendelea.
Hiyo ni Familia yenye ubinafsi, na kwenye ubinafsi kuna unyanyasaji.
Unakuta mume anamnyanyasa mke kisa Mke Hana kipato, au kisa mume ndiye analisha familia. Halikadhalika na Mke naye anamnyanyasa mume kisa Hana kipato na yeye ndiye analisha familia.
Msingi Mkuu wa ndoa ni Upendo na wala sio pesa.
Ushauri wako ni mzuri Kutokana na Dunia ya sasa ilivyo, wanawake ni selfish Kwa watu wasiowapenda. Hilo ulizingatie Sana.
Pesa zako hazimfanyi mwanamke akupende, hilo pia uliweke akilini.
Na Mwanamke lazima Ajue uzuri wake na kujitoa kwake hakumfanyi mwanaume akupende.
Upendo WA kweli hautengenezwi.
Kuupata upendo wa kweli ndio kipengele.
Na hapo ndipo mtoa mada hoja yake inapopata nguvu
Unakuaje sasa pasu pasu na mwanamke....eboo!!!!Huyo hawezi kuelewa kabisa!
Yy anataka awe pasu pasu na mwanamke [emoji848][emoji849][emoji849]
Ulishaonaga wapi hiki kitu?[emoji848]
Evelyn Salt
Ndio maana nitaendelea kugegeda tuu na sio kuweka ndaniKabla ujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.
Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika ķwako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.
Binafsi naona hawa wanaume wa JF sio hawa waliopo majumbani, ambao wanawake hasa waajiriwa .....kutwa kucha wanalalamika hela za wanaume hazionekani. Na ikiwa wana kazi nzuri na wanalipwa vizuri.Wewe angalau umeongea logic[emoji122][emoji122]
Yaan unakuta hela ya mwanaume haionekani au hayuko responsible kabisa afu anasema hela ya mwanamke lazima ionekane na isaidie nyoooo [emoji1787][emoji1787]
Huwezi kulazimisha mke akupenda hata siku moja kama yeye anaona pesa yake ende kujanga kwao, jambo hambalo huwezi kugundua kabla ya kumuoa, na ni ujinga kumpa talaka kisa hela yake inaishia kwao
Hahaha asante bro nimekuewa , lakini si edit wala kufita!!Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuandika comment ya kidhaifu namna hii. Watu kama wewe ndio mnapotosha uma wa wanawake kuwa wanaume mbele yao hatuna ujanja na ni dhaifu halafu wanakuja kutana na majambazi wanapigwa na kitu kizito wanaishia kusema wanaume ni mbwa.
Sifa ya mwanaume ni kutokukubali kuonekana dhaifu. Umeandika kizembe sana , sijapenda kwakweli. Nikiwa kama Kaka yako mkuu na kiranja wa mwenendo wako nakuagiza uedit hii comment iwe ya kibabe au uifute ili kusafisha hadhi yako ya kiume.
Unakuta mume kaugua au kaachshwa kazi au biashara zinakufa familia inataabika.Watu si wanafikiria maisha ni burudani tu. Maisha ni fumbo mkuu, kuoa ni mtihani unahitaji akili sana. Binafsi mi ntao mke wa mfano wa huyo shemeji yako. Hata nikifa watoto wangu wako sehemu salama coz mama yao ni strong.
Mwanamke asiye na akili hawezi ishi na mwanamkePet 3:7 SUV
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
Keyword ni Kaeni na wake zenu kwa Akili
Unadhani kufukuza mwanamke wa kileo kirahisi hivyo unalo .Eti fukuza unaota enzi za mfumo dume zilishaondoka mtaburuzana mahakamani hadi ujute kuzaliwa na kumfahanuMwanamke kama huyo unafukuza mapema Sana ni hatari Sana huko mbeleni utakapokuwa hauna nguvu
Imagine this[emoji848][emoji848][emoji848]Unakuaje sasa pasu pasu na mwanamke....eboo!!!!
Unadhani kufukuza mwanamke wa kileo kirahisi hivyo unalo .Eti fukuza unaota enzi za mfumo dume zilishaondoka mtaburuzana mahakamani hadi ujute kuzaliwa na kumfahanu
Nashukuru kwa headsup...mitano tena kwa ubachela
Hakika, hii ilinitokea mwaka 2012, kama sio ule ujasiri wa kiume ambao si kila mwanaume anao ningefanya tukio lingelo nigarimu, hii ni kutokana na kuizingatia kauli ya mwanamke kwamba "wewe ndio mwanzo na mwisho kwangu , usiniache please, usiniumize please,nimeweka maisha yangu kwako, wewe ni zaidi ya baba yangu" na mengi mengi ya mna hio, sasa kama mwanaume unaamini na kuyazingatia na kuyaishi. LMkuu ukitambua kwamba mwana mke ndani ya nyumba she is "a friendly enemy" hapo ndo ujue jinsi ya kupambana na rafiki adui wako, ukiwa mshamba ukiaza kuzimia eti honey I love you 100% hao watu ndo wanao jinyonga baada ya kusalitiwa na wake zao, ukiwa kwenye deep love na wife jicho moja ziba jingine liwe wazi, ukiziba yote umeisha.