Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Sahihi mkuu.

Okqy,sitasema tena nimeolewa sogea tukae naona u
imekaa kihuni,nitasema nimeolewa ndoa ya kimila.

Kwanza hata Adam na Eva si ndoa ya kimila ile.
Hawana hata cheti cha ndoa wale.
 
Tumetetea wanachokitetea siku zote gafla tumeunganishwa kwenye utapeli 😅
 
Wanaume Africa hawawezi kufa kwa upweke, vijiwe ni vingi na ujamaa ni mwingi.

Wanaume wengi Africa wanakufa kwa stress za ndoa.
 
Ukifika umri kidushe chako hakisimami starehe yako ingine itakua nini?
Aliyekuambia mwanaume akifikisha umri fulani hadindi kakudanganya. Hushangai wazee wa miaka 60 kilasiku wanakimbizana na vitoto vya 2000. Halafu ukae ukijua furaha ya mwanaume sio kutroomba bali ni kuona ana uhakika wa kuishi vizuri
 
Wanaume Africa hawawezi kufa kwa upweke, vijiwe ni vingi na ujamaa ni mwingi.

Wanaume wengi Africa wanakufa kwa stress za ndoa.
Ukitoka kucheza bao wenzao wanaenda ku cuddle na kina bibi hapo wanakuta ka chai kazuuri wameandaliwa wanakunywa huku wakishushia na msosi saafi wewe unarudi na hindi lako la kuchoma mkononi unatafuna unakunywa maji unajikunyata unalala kwenye kitanda chako kisichotandikwa kipo kama ulivyokiacha asubuhi
 
Kinadharia uko sahihi ila kivitendo mambo sio mepesi hivyo.

Wanaume tutafuteni pesa tu.
 
Aliyekuambia mwanaume akifikisha umri fulani hadindi kakudanganya. Hushangai wazee wa miaka 60 kilasiku wanakimbizana na vitoto vya 2000. Halafu ukae ukijua furaha ya mwanaume sio kutroomba bali ni kuona ana uhakika wa kuishi vizuri
Hata mwanamke hufurahishwa na uhakika wa kuishi vizuri.

Usinidanganye,kuna umri nguvu na hamu za sex zinapungua kwa jinsia zote.
Na mtu yeyote kuna umri unafika anataka atulie zake na sio kukimbixana na leo mwanamke huyu kesho huyu.Kwanza ni aibu unakua kizee cha hovyo.
 
Sahihi mkuu.

Okqy,sitasema tena nimeolewa sogea tukae naona u
imekaa kihuni,nitasema nimeolewa ndoa ya kimila.

Kwanza hata Adam na Eva si ndoa ya kimila ile.
Hawana hata cheti cha ndoa wale.
Cha msingi mwamba alipe mahari.

Mbali na hapo mtakuwa mnafanya dharau kwa wazee wenu waliowazaa.
 
KATAA NDOA KWA NGUVU ZOTE

YANAYOENDELEA KWENYE NDOA NI MAUMIVU JAMANI YAANI STRESS TUPU

BORA UPWEKE KULIKO STRESS ZA KUJITAKIA
 
Kama uzinzi ni kuishi bila ndoa rasmi na mtu mmoja ninayempenda na kumheshimu sioni shida kuuhubiri na kwangu huu sio uhuni.

Nimetolewa mahari na familia zote zinatambua muungano wetu.

Naomba kujua hizo faida zinazopatikana kwenye ndoa rasmi ambazo mimi sizipati.
Binafsi ukitoa cheti cha ndoa sioni walichonizidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…