Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Aiseee hivi unadhani wakati mimi nakuambia hivyo sikujua kama kuna Google au AI huoni kwanza hata neno lenyewe limekewa hizo alama kuashiria kwamba siyo neno rasmi ni informal, narudia hakuna kitu kinaitwa menopause kwa mwanaume hilo neno maana yake "ukomo wa hedhi" hizo nyingine ni porojo tu, hata wewe unaweza ukaingia humo mitandaoni na kuandika unavyotaka maana majibu ya kwenye hiyo mitandao yamewekwa na watu kama wewe tu
 
Menopause kwa mwanaume ipo na hata ukimwambia mtu anaejua biology vizuri atakuelewa., kurahisha au kuitofautisha na ile ya mwanamke ndio ndio unaweza kusema "male menopause" au "andropause". Wewe lengo lako ni kubishana tu kwaiyo hata point ambayo haiondoi mantiki ya mada utaishikilia iyo iyo
 
Yes. Unakuta akili imemkaa sawa baada ya akili kupevushwa na aliyokutana nayo kwenye jamii.

Ukimpata ambaye hajakitembeza hicho kinanii chake halafu wenge la mafanikio ya haraka limerudi kwenye factory setting unaweza furahia kuwa na mke.
Nilipata binti alikuwa kazalishwa five years ago now she is 27, anasema mwanaume, alipombebesha alikimbia, kwo binti akaamua kumpeleka mtoto kwa mother ake

Demu alitaka ndoa, lakini mimi nilikata kwa hicho kigezo cha usingo maza
 
Kama moyo wako ulisita ulikuwa sahihi.
 
18-23 bado immature na wanapambania ndoto zao, elimu n.k, atleast >30 wako mature, sidhani kama wewe utamuoza binti yako wa miaka 18?. DONT treat women as an object/ property for pleasure
 
18-23 bado immature na wanapambania ndoto zao, elimu n.k, atleast >30 wako mature, sidhani kama wewe utamuoza binti yako wa miaka 18?. DONT treat women as an object/ property for pleasure
Mzee baba yan mwanamke awe greater than 30 ndo aje aolewe?

Lets assume umemkuta ana nyumba yake, ana gari yake na kashazoea kuingia kwake muda, anaotaka

Unafikiri siku ikitokea friction kati Yenu utaweza Kum - control?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…