Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Nielekeze hiyo Dawa kuna mtoto. Wa 2003 ananisumbua sana ety nimsubri hadi 2031 kipind hicho. Ata mapoumbu 🤣yameanza kunyauka
 
yupo mmoja dini ana ipenda, mpole hata marafiki ni wachache Sana.

namfanyia espionage tuone, maana ndio chanda chema !
 
Nielekeze hiyo Dawa kuna mtoto. Wa 2003 ananisumbua sana ety nimsubri hadi 2031 kipind hicho. Ata mapoumbu 🤣yameanza kunyauka
....2031 kitakuwa kinaelekea pensionable....at 22 ndio uzuri kukatandika makombora ukabebe na kukaficha ndani ....nitakupatia hizo funguo insh Allah.....
 
....2031 kitakuwa kinaelekea pensionable....at 22 ndio uzuri kukatandika makombora ukabebe na kukaficha ndani ....nitakupatia hizo funguo insh Allah.....
Itapendeza sana mkuu, sema mtoto nahisi namfuata mama yake hajaolewa mpaka Leo 42 of age
 
Itapendeza sana mkuu, sema mtoto nahisi namfuata mama yake hajaolewa mpaka Leo 42 of age
Duuh...

Inabidi ufanye kazi ya ziada mno....kwani mara nyingi mabinti wanafuata nyayo za mama zao....

Well fanyia kazi sababu zilizopelekea mama mkwe asiolewe.....
 
Duuh...

Inabidi ufanye kazi ya ziada mno....kwani mara nyingi mabinti wanafuata nyayo za mama zao....

Well fanyia kazi sababu zilizopelekea mama mkwe asiolewe.....
Mama kwanza, alikua anapenda kudate na wanaume wenye fedha tu, sahivi anabonge la mjengo sio poa

Ukiishiwa tu unatemwa, anakuja mwingine
 
Mama kwanza, alikua anapenda kudate na wanaume wenye fedha tu, sahivi anabonge la mjengo sio poa

Ukiishiwa tu unatemwa, anakuja mwingine
...pole yako...

Badilisha gia angani hapo siko mkuu....ama unataka mlelewe nyote na huyo maza ?!! Ha ha ha
 
ain't easy bro, ila nita jaribu.
kuhusu ndoa sijui kwa Sasa, labda 2-3 yrs baadae.
...pambania maisha kwanza....cuties wadogo wako kila chochoro....asikwambie mtu tuliumizwa sana na age mates huko mavyuo vikuu...tukakimbiwa kwa sababu ya kuwa broke ars..* niggaz....maumivu yakatujenga alhamdulillahi....alpha males ni lazima wapitie "jehanamu" ya dunia....
 
Sitasahau niliachwa na mpenzi wangu Chuo, ety kisa nimevaa shati limetoboka kwapani 🤣🙌Ila Chuo kuna maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…