Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Sitasahau niliachwa na mpenzi wangu Chuo, ety kisa nimevaa shati limetoboka kwapani 🤣🙌Ila Chuo kuna maisha
.... shukuru Mwenyezi Mungu kwa kukupitisha katika madhila hayo ili yakujenge....
Mapenzi ya chuo banaaa....ha ha ha
 
Maisha na career kwanza, kuhusu love issues sio kipaumbele kabisa.

sometimes naji uliza njia ninayo itaka na mahusiano ni maji na mafuta, ila lazima tuishi tu
 
Duuh
 
Maisha na career kwanza, kuhusu love issues sio kipaumbele kabisa.

sometimes naji uliza njia ninayo itaka na mahusiano ni maji na mafuta, ila lazima tuishi tu
Women are liabilities, relationships are expensive. Kijana ambae bado unajitafuta masuala ya committed relationship unatakiwa kuyaweka pembeni kwanza kwenye equation yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…