🤣Kwetu ni aibu sana msomi kushiriki Sha jambo la mahusiano wazazi, Yan kwetu wanaamini msomi, hashindwi kitu na ana uwezo wa kupembua mambo,Ofcourse lazima ukutane na ugumu kwa sababu wanawake wa kisasa washakua brainwashed na itikadi nyingi mfano feminism, 50/50, career woman, independent woman n.k.
Unavyofanya msako wako tengeneza target sample ya wanawake wa ku-approach sio unamfuata tu kila mwanamke. Lenga ambao wanatoka kwenye familia yenye maadili, wachamungu, washirikishe wazee au viongozi wa dini, utampata tu
😀😀😀😀😀😀Jidanganye mkuu, bikra huwa inakatiza kote Ila sio Chuoni mkuu
Maamuzi mabovu ya ndugu zangu sio sababu ya mimi kutoona ukweli.Hapo ukute ana ndugu wanazeekea tu nyumbani hata kuolewa hawaolew kutwa thread za kusimanga wanawake sijui nani kamuumiza
Beib mtu una 40 yearsHavinaga chachu yoyote zaidi ya kuita beibii bila sababu za msingi😁😁
Hakika mkuu, upo 30s unatafuta kibinti kina 20?Binafsi ningekua na mpango wa kuoa ningeoa mwanamke mwenye kuanzia miaka 30 nakuendelea , mtoto wa 18 na 20 huyo Sitakua na hata cha kuongea nae zaidi ya kukizagamua tu mwisho wa siku home kutaboa nitashinda bar bure.
Sasa mkuu, we suggestion yako kwa umri huu 30's age yupi ni sahihiHakika mkuu, upo 30s unatafuta kibinti kina 20?
Wanawake sio watu wa kutumia logic, anaweza kutetea kitu kwa sababu ni mnufaika halafu masilahi ya hicho kitu yasipokuwepo tena anaamia upande mwingine kukipinga, mfano akiwa na miaka 22 atasema anataka wanaume wa miaka 30+ kwa sababu wa age yake sio aize yake. Mwanamke huyo huyo akifika miaka 30 akaona mwanaume wa miaka 30 anadate na mwanamke wa miaka 22 atasema mwanaune uyo anawalenga wanawake wadogo kwa sababu wanadanganyika kirahisi. Kwa kifupi usizingatie sana anachokisema mwanamke, hawa wwnzetu huwa wanaendeshwa na hisia wanazokua nazo kwenye moment husika, na sio logic.Ili ujue wanawake hawaeleweki, Wao husema wanataka wanaume waliowazidi umri kwa sababu zao za kutaka ku-reatiwa kama wadogo na kuhudumiwa, Lakini ukiwawekea rasmi kwamba wanaume wasioe wanawake waliolingana nao au wasioe wanawake waliowazidi kwani mwanaume anapaswa kuwa na umri zaidi ya mkewe…. Wanawake tena hawapendi hiyo watataka tena kuwa na access ya kuolewa na wanaume wadogo au wasiowazidi umri.
Very disgusting
Kibinti kidogo cha kihivyo kinaboa utajikuta unashinda bar tuHakika mkuu, upo 30s unatafuta kibinti kina 20?
Kidagaa kimekuozea.Upuuzi tu umeandika
Kwahiyo mkuu unawajua ladies vyema Sana isn'tWanawake sio watu wa kutumia logic, anaweza kutetea kitu kwa sababu ni mnufaika halafu masilahi ya hicho kitu yasipokuwepo tena anaamia upande mwingine kukipinga, mfano akiwa na miaka 22 atasema anataka wanaume wa miaka 30+ kwa sababu wa age yake sio aize yake. Mwanamke huyo huyo akifika miaka 30 akaona mwanaume wa miaka 30 anadate na mwanamke wa miaka 22 atasema mwanaune uyo anawalenga wanawake wadogo kwa sababu wanadanganyika kirahisi. Kwa kifupi usizingatie sana anachokisema mwanamke, hawa wwnzetu huwa wanaendeshwa na hisia wanazokua nazo kwenye moment husika, na sio logic.
Bora kujiepusha kbisNa mtoto hauna Authority nae.. pia kuna safari za mara kwa mara Mtoto akamuone Baba ake.. au Baba amuone Mtoto wake..
Mtoto akitoka hapo hujui anaambiwa nini.. anakuona kama fala mmoja hivi
Bado hawajasema.Imeniuma sana, najua maumivu ya wanawake ambao hawajaolewa...
Nikiwa kama mama mchungaji wa JF
Kuoa official sasa hivi ni mwaka wa nne(nimeoa kitamaduni, sio kidini na kisheria). Mwenzangu nilifahamiana nae mwaka mmoja na nusu kabla, wakati akiwa na miaka 19 kwa sasa tuna mtoto mmoja.Ningependa kujua kama alietoa ushauri huu kaoa? Ulioa binti miaka hiyo? Unazoefu kwenye ndoa kwa mda gani? Mimi nilioa rafiki yangu wa mda mrefu niliyemzidi 1 year sijawahi kukutana na mtu mwenye kunipa amani kama yeye mwaka wangu wa 6 ndoani na makids
Mungu pia wakati huohuo anakuuliza wakati unaoa huyu 30+ hukuona vijana fresh wa 20-26? Kwa kweli kwenye kuoa wanaume huwa tunakaza shingo th ila kuna nature ambayo Mungu aliitengeneza lakini ni kama tumeshindwa kuendana nayo.Mungu anaingiza mkono wake baada ya binadamu kufanya kile anachowajibika kukifanya, mfano una matarajio ya kuwa na watoto oa mwanamke mwenye umri mdogo ambae kizazi chake bado kipo active halafu baada ya hapo muombe Mungu akujalie watoto, sasa unaoa mwanamke wa miaka 30+ ambaye mayai yashakauka hapa ni kumpa Mungu kazi ya ziada.
Basi ongea na viongozi wa dini. Ila ukiongea na baba sidhani kama kuna shida🤣Kwetu ni aibu sana msomi kushiriki Sha jambo la mahusiano wazazi, Yan kwetu wanaamini msomi, hashindwi kitu na ana uwezo wa kupembua mambo,
Yan Kitendo cha kuongelea mahusiano mbele ya wazazi, unaonekana zoba
Kwenye viongozi wa dini maybe!