Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Exceptions zipo mkuu, lakini utakua mjinga ukifanya decision making based on exceptions. Suala la kuoa bikira kinachomaanishwa ni uwezekano wa mwanamke kuwa mtiifu. Mwanamke ambae umemkuta akiwa bikira ni kiashiria cha maadili mazuri na uwezo mkubwa wa mwanamke uyo kuvishinda vishawishi huyu hamjui mwanaume mwingine zaidi yako kila moment yenu itakua ndio first experience kwake uwezekano wa kuwa mwaminifu ni mkubwa zaidi, ukilinganisha na yule ambae umemkuta ashatumika, kwa sababu huyu bado ana kumbukumbu za maex wake kwaiyo kila moment yenu atakua anakulinganisha nao na obvious hauwezi kuwazidi maex wake kwenye kila kipengere sasa hapo kwenye gap ambayo inakosekana ndipo zinapoanzia hisia za kwenda kuitafuta iyo pleasure nje.
 
Lakini ni majanga kwasababu unakuwa umemtoa kwenye penzi la kijana mwenzake harafu Hana hisia na wewe kwaiyo impact yake itakuwa baada ya miaka 10 mbele
 
Mwisho wa siku wote tutazeeka tu mkuu.
 
Hivi visa ulivyoelezea hapa vinatokana na mfumo wa maisha wa hao wanaume wahusika na wala havitakiwi kukupa hofu unless labda na wewe mfumo wako wa maisha unafana na hao wazee sijui majirani zako.

Hao hawakujiandaa kuishi na hao wake zao kwanzi kiuchumi mpaka kimipaka na ndio maana unaona wake zao wanatoumbwa ovyoo na watu wa nje na wanaume hao hawana la kuwafanya.

Labda nikupe mfano wa mwanaume aliyejiandaa kuishi na mwanamke aliyemzudi umri na anaenda nae sawa... unamfahamu Ned Nwonko yule mme wa Regina Daniel wa Nigeria?

Yule mwamba ana 62 now wakqti huo mke wake wa mwisho ambaye ni Regina ana miaka 24 na wanaenda nae sawa. Hebu ifuatile hiyo couple kwanza ujionee.
 
Mzazi ni mzazi tu, hata kama kuna makosa aliyafanya uko nyuma hawezi kuyarithisha kwa mtoto wake, wewe haushangai wanawake wanasema kitanda hakizai haramu lakini watoto wao wa kiume wakibambikiwa mimba inakua vita
Ni kweli mimi mwenyewe nimerithi kupenda totozi Ila nataka nijitahidi angalau nisipite sana kule,
 
Lakini ni majanga kwasababu unakuwa umemtoa kwenye penzi la kijana mwenzake harafu Hana hisia na wewe kwaiyo impact yake itakuwa baada ya miaka 10 mbele
Ndipo hapo unapokuja umuhimu wa kuoa mwanamke bikira. Ukimkuta mwanamke bikira na ana umri mdogo huyu unaweza kumfanyia brain programming akakaa kwenye mstari unaotaka wewe
 
Unashauri mwanaue mwenye miaka 45 aoe mwanamke mwenye umri upi?
 
Ndipo hapo unapokuja umuhimu wa kuoa mwanamke bikira. Ukimkuta mwanamke bikira na ana umri mdogo huyu unaweza kumfanyia brain programming akakaa kwenye mstari unaotaka wewe
Yatakukuta ya mzee shusho ! Shauri yako! Alimuoa Christina shusho, akiwa 19 of age mzee shusho enz hzo ndo ana miaka 43 baadae shusho yupo kwenye 40's ,mzee shusho yupo 60's
chrstina akaanza kulalamika
Ety wazazi waliforce aolewe na mtu mzima

Sasa hapa it means kuna stage fulani bidada ariluka, sasa sahv atamani vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…