Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Shida umaskini degree eti za kawaida sababu nyingi hivyo eti hamna haja ya sherehe

Birthday mbona nyingi kuliko degree na watu wanafanya kila mwaka mtu yule yule kila mwaka anafanya birthday tena wengine kwenye kumbi kabisa

Tafuta hela
Hayo yalikuwa maoni yangu! kuna wengine pesa wanazo na bado hawaoni sababu ya kufanya na hasa kwa wanaume.

Bado naamini, kufanya birthday kwa mwanaume sio sahihi sana, labda awe amefika miaka kuanzia 80.

Birthdays tuwaachie wanawake.
 
Wanaume wanaosapotii mambo km Haya mkuu kwa asilimia kubwa ni wale japo ni wa kishua inawezekana kwa upande mwngn ambao kwa asilimia kubwa weng wao ni watoto wa mama, tough moments hawazijui kiaina.

Kwahyo wao trendy yyte inayowajia machoni Pao wao huwa hawana criticism yyte juu yake, wana kauli yao ile ya " live Your Life" .Sasa mtu akiwa na mindset km hiyo kwakweli alafu mtoto wa kiume hata kuwa papai it's not that hard.
 
Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Hii ni suffering mentality tulizonazo watu masikini

Tujenge utamaduni wa kutafuta happyness,ndio maana Constitution ya United States inasema watu wote ni sawa kwenye quest yao ya kutafuta happyness

Ila nchi zetu hizi za kijamaa pursuit of happyness ni vibaya tuna glorify suffering ndio kitu kizuri

Pia regardless,kuna watu ni extroverts hua wanapenda show offs,waache,waexpress themselves wanavyotaka as long hawamvunjii mtu sheria

Kaona kufanya graduation that massive ndio furaha yake,then who cares?

Kama wewe ni introverted kama mimi then achana na hayo

I wish ningekua mwanasiasa au kiongozi nihakikishe Tanzania inadopt American Ideals,American Constitution,tunafanya proper nation founding kama akina George Washington na wenzake....People should be absolutely FREE in their quest to find good life and happyness for themselves!
 
Sio swala la PESA ndugu wananchi.... bibafsi nafkiri ni Upendo tu wa wazazi kwa kijana wao

Hata kwenu muwe na uwezo kama hakuna mapenzi, hakuna shangwe.

Unaweza kuwa na maisha ya kawaida na ukajipigapiga ukamfanyia mwanao hivyo. Na unaweza kuwa wa kishua ila usifanyie hivyo.

Ninayo mifano hai!
 
Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Umaskini wa familia yako sio wa kila mtu. Alafu ukute level ya elimu aliomaliza na ww ni mbingu na ardhi. Mwenzako mapiga degree ww certificate unataka graduation ya nn alafu familia maskini watoe wapi hela za kulipa mc
 
Level ya Diploma vipi? 🤔

Binafsi naonaga kijana angalau akiwa na Diploma ana dira kidogo...
 
Unafanya Graduation kubwa halafu unaishia kuwa mbeba zege kitaa.

Inaleta huzuni Sana labda awe wa mboga Saba na connection za uhakika
Tena hapo after graduation anapewa ndinga kali mtaji wa biashara na washua wake wanafanya connection tcra nssf tpdc ww endelea kuwaza zege unalobeba toka umalize cheti 2017😂😂😂
 
Tena hapo after graduation anapewa ndinga kali mtaji wa biashara na washua wake wanafanya connection tcra nssf tpdc ww endelea kuwaza zege unalobeba toka umalize cheti 2017[emoji23][emoji23][emoji23]
Last year rafiki angu aligraduate kafanyiwa party ukumbn, kapewa macho matatu pro max, na duka la spare parts.
Sasa uku Kuna watu kila watu wakifanyacho ety ni ushoga [emoji1787] watu Wana trauma nasema kila siku arifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…