Wapalestina wanapigania ardhi yao, yani awe ndani ya Hamas au nje ila tayari Mioyo yao imeamua kupambana na Israel.Hawa wa Israel nilikua upande wao lakini hii haikubaliki, dogo ameshakimbia nilitegemea hata kama kilikua na ulazima wa kum restrain basi wangeshoot hata mguu, idf na weledi wote huo anashindwa hata kumlenga mguu wamshike
Ila Kuna mchambuzi wa vita wa marekani anasema Israel wamezidi kuzalisha Hamas wengi kupitia vita hii, hata mi ningekua mpalestina ambaye sijajiunga na Hamas alafu let's say watoto wangu, mke, ndugu washauliwa aisee sasa ntakua na Nini Cha kupoteza tena, ni kutafuta yoyote nilale nae mbele tu
Aisee! Gaidi lenyewe ndiyo huyu dogo!?Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha gaidi huyo mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua
Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa gaidi huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo.
Picha ya kijana (gaidi) aliyeuwawa
View attachment 2895762
Oh jamani! 🥹🥹Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha kijana mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua
Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa kijana huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo.
Picha ya kijana aliyeuwawa
View attachment 2895762
wewe ni mjinga usiejielew
wewe ni mjinga usiejielewa kwanza huyo ni mtoto na pia vilevile hao sio magaidi kwa jinsi unavyowatangazia wanapigania haki yao isitoshe izrael ndio magaidi na wamarekani na wewe ni chawa waoVideo kutoka eneo la tukio inamuonyesha kijana mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua
Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa kijana huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo.
Picha ya kijana aliyeuwawa
View attachment 2895762
Mtoto wa miaka 14 wa kitanzania tofauti na mtoto wa miaka 14 wa asia, amerika na ulayaHuu ni ukatili usiokubalika. Katoto kadogo hako hata kama kangekuwa na kisu kalitakiwa kaonywe kwa kuchapwa fimbo tu na sio kumuua kwa risasi. Hawa mayahudi wa mchongo wamezidi ukatili.
Lakini nikikumbuka walivyomfanya Mollel wetu. Wacha wapigwe risasi nimehairisha kuwatetea. Wacha wauawe tu.
Angeua ingekuwaje mngesema mtoto au?Hawa wa Israel nilikua upande wao lakini hii haikubaliki, dogo ameshakimbia nilitegemea hata kama kilikua na ulazima wa kum restrain basi wangeshoot hata mguu, idf na weledi wote huo anashindwa hata kumlenga mguu wamshike
Ila Kuna mchambuzi wa vita wa marekani anasema Israel wamezidi kuzalisha Hamas wengi kupitia vita hii, hata mi ningekua mpalestina ambaye sijajiunga na Hamas alafu let's say watoto wangu, mke, ndugu washauliwa aisee sasa ntakua na Nini Cha kupoteza tena, ni kutafuta yoyote nilale nae mbele tu
Gaidi ni gaidi tu haijalishi ni kijana, kikongwe ama kitoto! Wewe unaweza kumuacha kiumbe alietaka kukutoa uhai huku ukimtizama live? Hiyo itakua somo kwa watoto wenzie wanaofundishwa chuki kwamba mtoto haulambwi.Hawa wa Israel nilikua upande wao lakini hii haikubaliki, dogo ameshakimbia nilitegemea hata kama kilikua na ulazima wa kum restrain basi wangeshoot hata mguu, idf na weledi wote huo anashindwa hata kumlenga mguu wamshike
Ila Kuna mchambuzi wa vita wa marekani anasema Israel wamezidi kuzalisha Hamas wengi kupitia vita hii, hata mi ningekua mpalestina ambaye sijajiunga na Hamas alafu let's say watoto wangu, mke, ndugu washauliwa aisee sasa ntakua na Nini Cha kupoteza tena, ni kutafuta yoyote nilale nae mbele tu
🤣🤣🤣hii dini hii ya ajabu sana bora hata ile ya kuabudu ng'ombe ina utu.HapoNdo madhara ya kufundisha watoto jihad, chuki nk. Sasa malipo ndo hayo.
Sasa kuhusu bikra vipi dogo nae atapewa? Au ataambiwa wewe umri wako Bado???
Au bora kubarikiwa na papa au sio [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii dini hii ya ajabu sana bora hata ile ya kuabudu ng'ombe ina utu.Hapo
Mimi ni mjinga ndio lakini huyo kijana sijamuua mimi, kifo amekitaka yeyewewe ni mjinga usiejielew
wewe ni mjinga usiejielewa kwanza huyo ni mtoto na pia vilevile hao sio magaidi kwa jinsi unavyowatangazia wanapigania haki yao isitoshe izrael ndio magaidi na wamarekani na wewe ni chawa wao