Hawa wa Israel nilikua upande wao lakini hii haikubaliki, dogo ameshakimbia nilitegemea hata kama kilikua na ulazima wa kum restrain basi wangeshoot hata mguu, idf na weledi wote huo anashindwa hata kumlenga mguu wamshike
Ila Kuna mchambuzi wa vita wa marekani anasema Israel wamezidi kuzalisha Hamas wengi kupitia vita hii, hata mi ningekua mpalestina ambaye sijajiunga na Hamas alafu let's say watoto wangu, mke, ndugu washauliwa aisee sasa ntakua na Nini Cha kupoteza tena, ni kutafuta yoyote nilale nae mbele tu