Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wapalestina wana njia nyingine ya kupambana na Israel tofauti na Violence? Tofauti ya HAMAS na UMKHONTO WESIZWE ya Nelson Mandela ni ipi? Unakumbuka Rabbin alianzisha mchakato wa suluhu na Yasser Arafat chini ya Bill Clinton, nini kilimtokea? Ukielewa nini maana ya kudhulumiwa na ukawa huna njia ya kupata haki yako, utaelewa kuwa VIOLENCE IS A FAIR OPTION.Ndo madhara ya kufundisha watoto jihad, chuki nk. Sasa malipo ndo hayo.
Sasa kuhusu bikra vipi dogo nae atapewa? Au ataambiwa wewe umri wako Bado???
Kwani hicho kisu lengo nae si ilikuwa kuua!Huu ni ukatili usiokubalika. Katoto kadogo hako hata kama kangekuwa na kisu kalitakiwa kaonywe kwa kuchapwa fimbo tu na sio kumuua kwa risasi. Hawa mayahudi wa mchongo wamezidi ukatili.
Lakini nikikumbuka walivyomfanya Mollel wetu. Wacha wapigwe risasi nimehairisha kuwatetea. Wacha wauawe tu.
Nime bold hiyo kauli niliyo bold ni utapeli kakaHawa wa Israel nilikua upande wao lakini hii haikubaliki, dogo ameshakimbia nilitegemea hata kama kilikua na ulazima wa kum restrain basi wangeshoot hata mguu, idf na weledi wote huo anashindwa hata kumlenga mguu wamshike
Ila Kuna mchambuzi wa vita wa marekani anasema Israel wamezidi kuzalisha Hamas wengi kupitia vita hii, hata mi ningekua mpalestina ambaye sijajiunga na Hamas alafu let's say watoto wangu, mke, ndugu washauliwa aisee sasa ntakua na Nini Cha kupoteza tena, ni kutafuta yoyote nilale nae mbele tu
Aiseeee! kijana mdogo kafa kwa upuuzi wake na kitabu kile cha shetani kimemponza.Huu ni ukatili usiokubalika. Katoto kadogo hako hata kama kangekuwa na kisu kalitakiwa kaonywe kwa kuchapwa fimbo tu na sio kumuua kwa risasi. Hawa mayahudi wa mchongo wamezidi ukatili.
Lakini nikikumbuka walivyomfanya Mollel wetu. Wacha wapigwe risasi nimehairisha kuwatetea. Wacha wauawe tu.
Kwenye medani ya kivita hutakiwi kua na huruma hata na kunguni..Oh jamani! 🥹🥹
He is too young & cute!
Kwa bahati mbaya ama nzuri kwako wayahudi hawajawai kukuomba kuwa upande wao ama kutokuwa upande wao. Itoshe kusema unajiongelesha tu.Hawa wa Israel nilikua upande wao lakini hii haikubaliki, dogo ameshakimbia nilitegemea hata kama kilikua na ulazima wa kum restrain basi wangeshoot hata mguu, idf na weledi wote huo anashindwa hata kumlenga mguu wamshike
Ila Kuna mchambuzi wa vita wa marekani anasema Israel wamezidi kuzalisha Hamas wengi kupitia vita hii, hata mi ningekua mpalestina ambaye sijajiunga na Hamas alafu let's say watoto wangu, mke, ndugu washauliwa aisee sasa ntakua na Nini Cha kupoteza tena, ni kutafuta yoyote nilale nae mbele tu
Wamekosea kumuua huyo mtotoKwenye vita, unaweza kusema ni mtoto kumbe kumbe kavaa vilipuzi, ukizingatia huko nyuma watoto walikuwa wanajitoa mhanga baada ya kushauliwa na magaidi, huyo mtoto alikuwa ametoa wapi hicho kisu? Hapo mashariki ya kati kiini kikuu cha mgogoro huo ni dini ya kiislam na dini ya kiyahudi, hayo mambo ya ardhi ni porojo tu, kwani waangeamua kuishi pamoja ingeshindikana? Palestine wanachokitaka hawawezi kukipata mpaka Yesu anarudi, kama walishindwa kutetea nchi yao miaka 1948- 1960 ambapo Israel ilikuwa na uchumi dhaifu na jeshi la kawaida, kwa sasa hawezi kuitoa Israel yenye air force bora duniani na silaha za nyuklia za kujilinda. Wapalestina wakikaza vichwa watamalizwa, natamani kuona viongozi wa hamasa wenye ujasiri waseme tunataka kuunda taifa moja la jamuhuri ya muungano wa Israel na Palestina.
Bora umejiongezaHuu ni ukatili usiokubalika. Katoto kadogo hako hata kama kangekuwa na kisu kalitakiwa kaonywe kwa kuchapwa fimbo tu na sio kumuua kwa risasi. Hawa mayahudi wa mchongo wamezidi ukatili.
Lakini nikikumbuka walivyomfanya Mollel wetu. Wacha wapigwe risasi nimehairisha kuwatetea. Wacha wauawe tu.
Wangekuua wewe.Wamekosea kumuua huyo mtoto
Ptsd ni nn mkuu?Ndio maana askari wakitoka vitani wanakuaga na PTSD.
Kuishi pamoja na mazayuni ni kheri uishi pamoja na nguruwe unaweza ukawa na walau amaniKwenye vita, unaweza kusema ni mtoto kumbe kumbe kavaa vilipuzi, ukizingatia huko nyuma watoto walikuwa wanajitoa mhanga baada ya kushauliwa na magaidi, huyo mtoto alikuwa ametoa wapi hicho kisu? Hapo mashariki ya kati kiini kikuu cha mgogoro huo ni dini ya kiislam na dini ya kiyahudi, hayo mambo ya ardhi ni porojo tu, kwani waangeamua kuishi pamoja ingeshindikana? Palestine wanachokitaka hawawezi kukipata mpaka Yesu anarudi, kama walishindwa kutetea nchi yao miaka 1948- 1960 ambapo Israel ilikuwa na uchumi dhaifu na jeshi la kawaida, kwa sasa hawezi kuitoa Israel yenye air force bora duniani na silaha za nyuklia za kujilinda. Wapalestina wakikaza vichwa watamalizwa, natamani kuona viongozi wa hamasa wenye ujasiri waseme tunataka kuunda taifa moja la jamuhuri ya muungano wa Israel na Palestina.
Hao viongozi wa hamas akina yahya sinwar waliwekwa jela israel wakaachiwa sahizi wanawasumbua dawa ni kama aliyopewa huyo dogo tu maana ukicheka nao wao ndo wanakuuaKwenye vita, unaweza kusema ni mtoto kumbe kumbe kavaa vilipuzi, ukizingatia huko nyuma watoto walikuwa wanajitoa mhanga baada ya kushauliwa na magaidi, huyo mtoto alikuwa ametoa wapi hicho kisu? Hapo mashariki ya kati kiini kikuu cha mgogoro huo ni dini ya kiislam na dini ya kiyahudi, hayo mambo ya ardhi ni porojo tu, kwani waangeamua kuishi pamoja ingeshindikana? Palestine wanachokitaka hawawezi kukipata mpaka Yesu anarudi, kama walishindwa kutetea nchi yao miaka 1948- 1960 ambapo Israel ilikuwa na uchumi dhaifu na jeshi la kawaida, kwa sasa hawezi kuitoa Israel yenye air force bora duniani na silaha za nyuklia za kujilinda. Wapalestina wakikaza vichwa watamalizwa, natamani kuona viongozi wa hamasa wenye ujasiri waseme tunataka kuunda taifa moja la jamuhuri ya muungano wa Israel na Palestina.
Ndio maana hamas wanataka wawafyeke hawa magaidi wa kizayuni na wauaji