Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

Hivi kama

huyo mtoto angefanikiwa kumchoma kisu jamaa asingedhurika hata kufa.... Sasa kwanini akiuawa mtetea ni mtoto, hii chuki wakulaumiwa ni wanaonufaika na mzozo wa palestina na israeli, shauri yao wanaopigana... Kuna busara katika kugeuza shavu la kushoto, kuliko jino kwa jino na waliokuzidi nguvu..
sikia wewe usiejielewa angelimchoma hata kumuua kwao ni sawa maana hao LGBTQ wenzako wameua wengi katika ndugu zake na huyo mtoto ndio maana unamuita gaidi kumbuka anapigania taifa lake
 
Back
Top Bottom