Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Unamuonea wivu mpaka mtoto mdogo 😀Hivi kijana mdogo kama huyu mtampa mabikira? Ina maana hao mabikira watapewa kwa vitoto pia au hadi ufikie umri gani...
Anaelipa Allah anajua kila namna ya kulipa na ndio mbora wa kuhukumu tena kwa haki kabisaaa