Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

Hata enjoy sababu ataelewa kwa ile mibikira uzao wa aAllah meupe kama negativu.. bad news akienda kule anaweza geuza yeye ndio houri bikira kataliwa kiboga na mtume wao
Magaidi ya kizayuni yanatakiwa yauliwe kila siku
 
Puumbavu!! Mtu kabeba kisu ili kudhuru na kuua hata kama kana miaka 7 ni kukaua tu
 
Ccm inakutesa hapa inakulaza gizani no maji no umeme watu wanakufa kukosa huduma muhimu mbona upo upo. Nenda palestina kajiunge uwasaidie
 
Wamezulumiwa nini
 
Ata ingekua ni mimi, wazazi na ndugu zangu wameuliwa mbele ya macho yangu na wauaji bado wanaendelea kuua ndugu marafiki na jamaa zangu wengine ningewafata wauaji kwa kisu ata kama wangeniua na baadae kunitangaza gaidi.
Ndio mana israel inawamalixa wapalestina bada kuuwa watu 1300 tar7
 
Kuna watu hamjui mambo haya. Huyo mtoto hajafanya hivyo kwa bahati mbaya. Tangu ndani ya familia, shuleni na katika vyombo vyao vya habari wanawahamasisha kila mtu afanye lolote angalau kuua waisraeli. Kuna matukio mengi watoto wametumika kuua askari na raia wa kawaida wa israeli kupitia njia hii. Kama umeangala vizuri, yule askari alimsogelea kijana vizuri kama kutaka kumsikiliza, lakini mtoto lengo lake aue. Sasa katika hali ya kawaida, askari hapo afanyeje
 
Mimi na wewe tunaulizana chanzo jf lakini sidhani kwaakili ya uyo kijana alikua na akili ya kujua chanzo.
Jaribu kuwaza wanayoyapitia hao vijana wa hapo gaza ndio utajua akili zao haziwazi kama tunavyowaza mimi na wewe.
Umeona Yaliyompata Lakini...Nadhani Yameendana Na Jibu Lako Hili
 
Kule hakuna hiyo huruma si umeona huyo polisi wa kiisrael ni wakike lakini anamimina za kutosha kwa kijana
Wa kike ndo nini? Kwamba wanawake hawawezi kumimina risasi??

Wamezingua kumuua huyo dogo.
 
Yes, alaf na wewe unakufa story inaishia hapo mazayuni wanabaki...
 
Hivi kama
wewe ni mjinga usiejielew

wewe ni mjinga usiejielewa kwanza huyo ni mtoto na pia vilevile hao sio magaidi kwa jinsi unavyowatangazia wanapigania haki yao isitoshe izrael ndio magaidi na wamarekani na wewe ni chawa wao
huyo mtoto angefanikiwa kumchoma kisu jamaa asingedhurika hata kufa.... Sasa kwanini akiuawa mtetea ni mtoto, hii chuki wakulaumiwa ni wanaonufaika na mzozo wa palestina na israeli, shauri yao wanaopigana... Kuna busara katika kugeuza shavu la kushoto, kuliko jino kwa jino na waliokuzidi nguvu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…