Mafeking
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 225
- 471
Si kaingizwa kingchampion wa nyapu sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kaingizwa kingchampion wa nyapu sio?
Hakika..!Washenzi hawa wanafikiri issue ni pesa. kuna emotional attachment kati ya Baba na huyo mtoto ambayo ndio ndio inawezekana ilimuumiza jamaa zaidi. Ila vijana wa sasa wana low EQ.
Mama mkwe akili hana anaonekana anaendekeza tamaa badala ya kutumia busara.Ila wanawake watakuja kutuua tuishe wote. Amembambikizia mimba jamaa.... Jamaa kailea, kalea na mtoto halafu anakuja kuambiwa chukua 850k yako mtoto si wako 🙌
Hapo ukute baba halisi wa mtoto kapata maisha sasa kamwambia binti achana na huyo fala njoo ule maisha huku kwangu
Mtoto mbeya huyo🤣Haahh sawa tutakunywa
Kuna jamaa alizaa mtoto wa njee akawa analinga umri na mtoto wa ndani ya ndoa sasa wale watoto wakawa wanasoma shule moja bila kujuana mkubwa ambaye ni wa ndani ya ndoa akasikia kuna mtoto mwingine wanafanana majina ya mwisho akamfwata kumuuliza yule mtoto we jina lako nani akamtajia majina yote akamuuliza baba yako anafanya kazi wapi akamwambia sehemu ambayo baba yake anafanya kazi alipo rudi nyumban yule mtoto aka mwambia mama yake palinuka nakwambia
Katika uislam huyo si mtoto wake. Anaweza kumuoa, yaani mtoto wa nje ya ndoa sio wake. Kadhulumu bure huyo kijana wakati kisheria si mtoto wakeMapenzi ni kitu cha asili acha vijana tuteseke..
Wengine tumesha kua IMMORTAL/ HEARTLESS.JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE
Mwili wa kijana Justine Mbaga mwenye umri wa miaka 28 ambaye amefariki dunia jana Februari 11,2025 ikidaiwa ni kwa kunywa sumu baada ya kupewa taarifa kuwa mtoto aliyekuwa anamhudumia si wake, umezikwa leo katika makaburi ya Magegele yaliyopo Halmashauri ya mji Makambako.
Taarifa zinaeleza kuwa siku ya jumapili Februari 9,2025 familia ya binti ya aliyekuwa naye kwenye mahusiano walimwita Justine Mbaga, na familia yake na kumweleza kuwa mtoto ambaye alikuwa anamlea si wake, jambo ambalo lilipelekea kuathirika kisaikolojia na kuchukua uamuzi huo.
Baadhi ya majirani wa Justine Mbaga wamesema kifo cha mpendwa wao kimewaacha na majozi mazito kwani alikuwa ni kijana mwenye maadili mema.
Ratifa kibiki ni, mama mzazi wa binti mwenye mtoto huyo anayedhaniwa ni mtoto wa Justine Mbaga akizungumza na El olama fm amesema waliamua kumuita Justine Mbaga na Familia yake na kuwaeleza kuwa mtoto huyo si wao kwani aliona si busara Justine aendelee kulea mtoto ambaye si wake.
Aidha Mama huyo amesema binti yake alikuwa tayari kurejesha gharama za matunzo ambazo Justine Mbaga alizitumia kumlea mtoto huyo ambazo ni 850,000/=.
Diwani wa kata ya kitisi Nevy Sanga na mtendaji wa mtaa wa Kisingire,wameiasa jamii iache tabia ya kuchukua sheria mkononi hasa inapojitokeza changamoto yoyote kwenye maisha.
🎥
✍️
View attachment 3234433
Kikubwa ni kujipenda kwanza mwenyewe/ opendo kwa mwenza usiwe too much penda kwa kiasi/ Mimi hata nisinge shituka ni kama angekua kampiga chura teke..ni kumuongezea mwendo.Ila wanawake watakuja kutuua tuishe wote. Amembambikizia mimba jamaa.... Jamaa kailea, kalea na mtoto halafu anakuja kuambiwa chukua 850k yako mtoto si wako 🙌
Hapo ukute baba halisi wa mtoto kapata maisha sasa kamwambia binti achana na huyo fala njoo ule maisha huku kwangu
Saa zingine mkiskia mwanaume kakataa kuhudumia mtoto muwe mnaelewa...ni kuepuka na mambo kama hayoDuuuhhh . Kwanini hawakumwambia mapema kwamba mtoto sio wake tangu akiwa tumboni?
Huyo Marehemu angechukua tu hiyo pesa akala bata kidogo, na kwa maisha ya Mkoani hiyo pesa ni nyingi kiasi.Jitahidi uwe malaya kidogo ili siku yakikukuta usijiue bali ujipigepige kifua
Kumbe upoDuuuhhh . Kwanini hawakumwambia mapema kwamba mtoto sio wake tangu akiwa tumboni?
Utabiri:Duuuhhh . Kwanini hawakumwambia mapema kwamba mtoto sio wake tangu akiwa tumboni?
Marehemu alipaswa kuchukua pesa na kisha kumkata kichwa huyo dada kabla ya yeye kujiuaWazazi ndo wàlitumia busara baada ya binti yao kukiri mimba alipewa na mwanaume mwingine wakaamua kutafuta suluhu. Binti angewaambia wakati wa mimba nadhani pia wangemtaarifu huyu marehemu.
Mabinti acheni tamaa.