Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

Washenzi hawa wanafikiri issue ni pesa. kuna emotional attachment kati ya Baba na huyo mtoto ambayo ndio ndio inawezekana ilimuumiza jamaa zaidi. Ila vijana wa sasa wana low EQ.
Hakika..!
Vijana wa kiume wa sasa hawana tena kitu UJASIRI.
Hali ambayo inawafanya wajiue pale wanapokabiliwa na changamoto za kawaida za kimaisha.
Kuna mwingine tena juzi kati hapa kajiua nakuacha mke na mtoto mchanga kisa tu anadaiwa Tsh. Elfu sitini!!

Ninadhani hali hii inachangiwa pia na vijana wengi kulelews na mama pekee bila baba.
 
Mama mkwe akili hana anaonekana anaendekeza tamaa badala ya kutumia busara.
 
Mtoto mbeya huyo🤣
 
Wengine tumesha kua IMMORTAL/ HEARTLESS.

POLE KWA FAMILIA WANAWAKE WAPO WENGI SANA KWANINI KIJANA UJIUE..

POLE SANA KWA NDUGU ,JAMAA,MARAFIKI, MAJIRANI
 
Kikubwa ni kujipenda kwanza mwenyewe/ opendo kwa mwenza usiwe too much penda kwa kiasi/ Mimi hata nisinge shituka ni kama angekua kampiga chura teke..ni kumuongezea mwendo.
 
Huyo dogo si risk, ni heri kajiua maana angeweza kuleta malaa kubwa duniani.
 
Kama pesa zangu zinarejeshwa,naanza vipi kuchukua maamuzi ya kijinga vile tena umri wenyewe bado kabisa.
 
Ila Just naye amezingua,anakufaje kiboya hivyo na umri wake bado unaruhusu sana,kwanza alitakiwa ashukuru kwa kuujua ukweli.

Ndio shida ya kukaa na kitu moyoni bila kushirikisha watu kabla haujafanya maamuzi
 
Hii ni Sawa na ile umemsomesha binti miaka yote ukiamini utamuona, halafu baadaye anakuambia amempata anayempenda Mwingine!

Hapo ulichukua Sheria mkonono sio dhambi!

Hii itabia ndiyo iliyosababisha kuyumba kwa "taasisi ya ndoa" wanawake wanachukulia ndoa kama fursa ya kiuchumi!
 
Wazazi ndo wàlitumia busara baada ya binti yao kukiri mimba alipewa na mwanaume mwingine wakaamua kutafuta suluhu. Binti angewaambia wakati wa mimba nadhani pia wangemtaarifu huyu marehemu.
Mabinti acheni tamaa.
Marehemu alipaswa kuchukua pesa na kisha kumkata kichwa huyo dada kabla ya yeye kujiua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…