Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

Mtoto wako ni yule unayemlea kwa upendo na kuwa na heshima kwako na watu wanaowazunguka hata kama hukumzaa kwa sababu tumewahi kuwasikia wazazi wakiwakataa watoto wa kuwazaa kutokana na tabia mbaya.Hivyo watoto ni wa Mungu aliyetuumba na mtoto ni wa mama kwa 100%
 
Wanyalu kwa kupenda sifa, yaani amejinyonga ili iweje?
 
So sad, na hao wazazi wa binti ni hamnazo
 
kwann walikuwa hawasemi mapema

Lakini naye mbaga alikuwa haoni sura siyake kwa mtoto huyo

badala ya kusema warudishe Hela waombwe warudishe uhai wa marehemu
Wapuuzi hao ukute mwenye bao alikula kina so wakaona Bora wakomae na marehemu sasa huenda Baba halisi kajitokeza wameamua sasa wamwambie ukweli na wamlipe. WANAWAKE NI MATAPELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…