Kijeshi, Urusi imefeli vibaya sana huko Ukraine

Acha arushe hayo mabomu, aharibu majengo, avunje shule, hospitali etc Lakini hizo siyo military targets ni civilian targets na inaonyesha namna Gani jeshi la Urusi lilivyodhaifu. Unashindwa kudeal na askari wa upande mwingine unaenda kuharibu miji!
Mzee wanajeshi wa Ukraine wanapokimbilia kujificha kwenye maeneo ya raia basi maeneo hayo yote yanakua valid military target.

Wanajeshi wa Ukraine wanashambulia wakiwa wamejificha kwenye mashule/mahospital alafu wanategemea kama yale majengo yatakua kinga kwao juu ya wao kushambuliwa, Russian army ikija kulipiza mashambulizi wanaanza kulalamika kwamba Russia inashambulia maeneo ya raia.

 
Ni uwezo wa Ukraine au hao Mazuzu NATO? Vipi Urusi hajakumbana na betrayal na sabotage za ndani kwa jeshi lake, vipi mamluki pia.
 
Putin ni mwanaume, anawalaza macho washirika wote wa NATO
 
Umoja wa Wayahudi duniani kamwe hauwezi kumuacha Myahudi mwenzao Zelensky aangushwe!
Zelensky ni sehemu ya symbol ya power ya Wayahudi(Kutawala sehemu mbalimbali za Dunia)
Wayahudi hawana uwezo wowote ule,
Wako overrated mno

Hizo Ni propaganda mnalishwa na western
Israel kuionea palestina na Syria sio kwamba wanajiweza mno.

Wanakingiwa kifua sana na US ndo maana wanakua wajeuri

Kwa Hii Vita ya Ukraine,
Russia amedhihirisha kweli Ni super power kijeshi na kiuchumi kwa kupigana na nchi zaidi ya 30 na zote zimeshakua exhausted mpk sahv.
 
Tukiachana na uchambuzi wa mkuu hapo juu, urusi hakutegemea kupigana na Ukraine kwa muda mrefu hii itapelekea urusi kutumia rasilimali ti tge maximum na kwa minaji hii ni fursa kwa nchi zetu kupata bidhaa kwa bei nafuu ila kwa vile marekani kaweka vikwazo tupambane tu
 
Mkuuu kwa hapa sidhani urusi ni taifa kubwa ila kupigana na nchi 30 mpaka sasa azingeweza kuwepo
 
Wana connection ndefu.
Hao wanauwezo wa kushawishi Nchi kubwa ili Ukraine apewe silaha na msaada mkubwa zaidi as long as it takes kumvunjavunja nguvu Urusi.
Na pia Wana uwezo wa kuwezesha vikwazo dhidi ya Urusi ving'ate kwelikweli
 
Huwa nacheka sana pale pro western wanavochambua siasa za mataifa hasa pale wanapotumia neno dikteta kwa madai ya eti hawajli nchi zao......jebu tulichambie kidogo hili taifa la marekani na demokrasia zake kama ni ishara ya ungozi bora na usawa na lenye kujari wananchi wake
1. marekani ni nchi yenye economic gap kubwa kati ya walionacho na wasio nacho maana yake ni kwamba sera nyingi za kiuchumi zinawajali walionacho kuliko wasio nacho. Wako tayar kuingiza taifa lao kwenye vita visivyo na faida kwa wananchi wao wa kawaida kwa masilahi ya walionacho(nenda kaangalie military industrial complex).
2. Marekani na nchi shirika za magharibi ndio walioongoza na bado wanaongoza kwa mauaji ya halaiki(mass murder) ulimwenguni mfano red indian australia abolignals helelo wa namibia congo chini ya utawala wa ubelgiji n.k.
3. Marekani na washirikia wake ndio waporaji wakubwa wa ardhi za watu na rasilimali zao...tafuta documentary inaitwa "stilling"a nation utanielewa zaidi.
4. Marekani ndio taifa pekee lilitumia na ninaelendea kutumia silaha za nyuklia na za kibaologia kwenye vita vyake..mfano hirosima na nagasaki, agent orange vita ya vietnam na DU(depleted uranium) vita ya iraq
Kwa hiyo bado sijajua hawa pro-western wanaukita wapi ujasili wa kusimama na kuwasema madikteta nchi zingine kwamba ni wavunjifu wa haki za kibinafamu huku wakijifanya hawajui kinachoendelea kwenye mataifa ya kimagharibi
 
Asee wew kumbe hufatilii hata hii vita ni unazi unakusumbua
 
Hivi Tanzania na Russia wakipigana vita kwa siku 60 na uwanja wa vita ukawa Russia, hivi kati ya Russia na Tanzania nani atapata hasara kubwa?.
 
Mkuuu kwa hapa sidhani urusi ni taifa kubwa ila kupigana na nchi 30 mpaka sasa azingeweza kuwepo
Nchi kibao ulaya zimetuma mamluki kibao,Silaha zaidi zinazidi kumiminika,

Marekani kapeleka hammer, uingereza javellin, Norway kapeleka ndege, Australia kapeleka vifaru, ujerumani kapeleka bunduki na risasi, poland kapeleka mig 26 alizonunua urusi.

Wengine kibao wanazid kupeleka

ujerumani Jana katangaza kuishiwa silaha za kutuma ukraine,

Uingereza kasema zaidi ya javellin Hana silaha zaidi atatuma Tena Ukraine

Pentagon baada ya kelele Sana, jana nao wamesema watatuma silaha zaidi na pesa ila sio wanajeshi
 
Supporting tofauti na direct war hao wote wengeingia in total war urusi angekuwa anapumulia gesi sasa hivi
 
Mtaalam nipe source ya uhakika ya mambo uliyosema hapa. Let speak realistic
 
Umoja wa Wayahudi duniani kamwe hauwezi kumuacha Myahudi mwenzao Zelensky aangushwe!
Zelensky ni sehemu ya symbol ya power ya Wayahudi(Kutawala sehemu mbalimbali za Dunia)
Zelensky kila MTU amemugaya.
Hama's wanawapelekea moto kule Israel, kwa sasa wanapambana na hali zao.
Uturuki-kampa kidogo
Saudia-amempa kidogo
EU-chumi zao zimevurugika hawana cha kumpa zaidi ya kumpa maneno ya faraja

Sasa msaada wake ni USA tu ambapo Wananchi wake wameanza kupiga kelele hali yao ya uchumi inaanza kuwa mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…