Nakumbuka stori yako ya kutoka Kgm to Dar ilikuwa kama unatupanga hivi kumbe ndio kweli upo safarini! [emoji3]Ila hali imayoendelea huko siyo haki, ule ni udhalilishaji kwakweli. Unamtambuaje mchawi kama na wewe siyo mchawi?
Vodoo na polisi wapi na wapi.Umeona Haiti huko hakuna polisi mtaani wote wamekimbia
Ova
Haiti kule hata WAGNER hakanyagi, so far ndio eneo hatari zaidi duniani, hata chawa walamba viatu akiteuliwa kuwa balozi kule atarudi mwenyewqe, atarudia airport.Umeona Haiti huko hakuna polisi mtaani wote wamekimbia
Ova
Kwa hili nipo upande wa police,mm nipo Congo kwa sasa naona hasara kubwa ya wana inchi kuto kutii sheria kila mtu ni katili ni kama hakuna serikali, ndiyo maana amani ziro police wetu na nilazima wazibiti hayo mambo kwa nguvu zaidi.Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.
Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .
RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.
Chanzo cha Ugonvi...
Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.
Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.
Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.
Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.
Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.
Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .
Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.
Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".
Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
Nadhani kuna vifaa maalumu vinatumika, kuna mtu alikuwa anaitwa Mwandulami alitaka kuanzisha mafunzo ili mambo ya jadi yatumike kwa faida ikiwa ni pamoja na usafiri wa anga kwa mtu mmoja mmoja ila serikali ikamtia piniUnamtambuaje mchawi kama na wewe siyo mchawi?
Ewe mjuvi wa mambo....Kama haki inapatikana kirahisi hivyo hapa bongo daini mpewe katiba mpya.
[emoji2956]Kwa ninavoona askari wapo sawa kabisa.....hao raia ni washenzi kabisa yaani unabomoa kituo cha polisi kisa mambo ya ajabu na aliyekimbilia huko kafanya sawa kabisa kiusalama.Hao kamchape wakamatwe na hizo kesi za mauaji wapeww wao sababu wao ndio chanzo.
[emoji1787]AlhamduliLlah.
Uhuni wa "mob psychology"....Hawa raia walikosea kuvamia kituo cha Polisi.Yule aliyekimbilia Polisi,alikwenda mahali,ambapo atapata usalama.Sasa inakuwaje wengine wamfuate huko ili wamuadhibu?
Maoni yako ni mazuri sana.Kwa nini wanaletwa watu wakuwazulia wenzao uchawi?Hao wakamatwe,wafunguliwe kesi ya mauaji,hao Kamchape.Kwa ninavoona askari wapo sawa kabisa.....hao raia ni washenzi kabisa yaani unabomoa kituo cha polisi kisa mambo ya ajabu na aliyekimbilia huko kafanya sawa kabisa kiusalama.Hao kamchape wakamatwe na hizo kesi za mauaji wapeww wao sababu wao ndio chanzo.
Huko Congo waambie taifa pekee lililobarikiwa sana tena sana duniani ni Tanzania....Kwa hili nipo upande wa police,mm nipo Congo kwa sasa naona hasara kubwa ya wana inchi kuto kutii sheria kila mtu ni katili ni kama hakuna serikali, ndiyo maana amani ziro police wetu na nilazima wazibiti hayo mambo kwa nguvu zaidi.
Haiti ni jehanamu ya dunia....Haiti kule hata WAGNER hakanyagi, so far ndio eneo hatari zaidi duniani, hata chawa walamba viatu akiteuliwa kuwa balozi kule atarudi mwenyewqe, atarudia airport.
[emoji1787][emoji1787]Vodoo na polisi wapi na wapi.
Hakika....Yaani uende kuvunja kituo cha polisi na wao wakuangalie tu,huu ni ukosefu wa adhabu
[emoji2956][emoji2956]Kama walileta fujo kituo cha polisi..
Polisi wapo sahihi.
Nchi ni yenu...Wenzake wa kabwe wilaya ya nkasi walijidanganya hivo hivo Ila unaelekea kukata mwezi sasa watu wanazidi kusota rumande na waliokufa waliShazikwa kijjn mambo yanaendelea kama kawa. Walipiga vitisho vingi Ila mwisho wa siku wananchi ndo wanabaki kua wahanga wakubwa.