Imepokelewa,Ziada
Usinywe kwa kuiga
Usinywe kwa sifa
Usikope pombe
Na epuka kujenga heshima bar.. Hilo ni kaburi la kujitakia na jeneza la promotion au la bei ya jioni
Mvinyo ni nini ?Hapana daughter kunywa mvinyo tuuu😀
Ahaaa sawa asanteeHapana daughter sio pombe Ila Ina kilevi.. Kwa kizungu inaitwa wine
Boss naomba kazi 😀Kuna situation waga inatokea inaku stress kiasi kwamba dishi linapata moto.
Kuna siku mimi waga nakiwasha kazini kwangu, vijana wanajisemeaga tuu, tatizo bosi anakula sana kaya. 😁
Kumbe situmii kaya wala nini, nakua tuu nimevurugwa na ishu zangu. 😁
Boss naomba kazi 😀
Ya kukupikia chai hakuna? 😹Kazi za vyuma na kelele za mashine utaziweza? 😁
Mafundi power bank 😹😹Kwenye lile jopo la wazee wa kutoa miongozo hawa wasiwepo kabisa😀
View attachment 3576913
Au niwe mke wa jirani🤣Kwenye lile jopo la wazee wa kutoa miongozo hawa wasiwepo kabisa😀
View attachment 3576913
Usimpe huyoo🏃♂️🏃♂️Kazi za vyuma na kelele za mashine utaziweza? 😁
Mzee wa Mitanange😂😂Tahadhari kubwa: kuweni makini na marafiki wa mitandaoni na watu mnaokutana nao!
Don't easily trust people.. Hizo PM hizo..🚶🏾🚶🏾🚶🏾
Hii roho mbaya sasa 😹😹😹Usimpe huyoo🏃♂️🏃♂️
Maji hufata mkondo like father like daughter 😜Unajua wewe mtoto hazikutoshi😂🤣🤣🤣