Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

Hata mkuu wa kaya hawezi kuandika wala kuongea sentensi ya Kiingeza fasaha ilhali ana PHD sembuse hao watoto wa digrii za chupi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ni kuboresha maslahi hasa waalim wa msingi tofauti na hapo wananchi endeleeni kufurahia vilaza kibao watakaokuwa viongozi wenu baadaye na madhara ya ya hii awamu ya tano hasa upande wa elimu mtayaona tu. Binadamu sio mbuzi au kondoo unatakiwa kumuongoza kwa akili sana sio nguvuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata aliyeleta uzi huu ana shida zake, wakuu wa vyuo ni viongozi wakuu wa siasa kama akina Mkapa, JK, Anna Makinda etc, ambao kiuhalisia ni ceremonial tu. Vice Chancellors ndio wanahusika na usimamizi wa moja kwa moja wa vyuo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona mna wa pre-empty wajumbe, si mtulie tuone kama kutakua na mabadiliko.

Aidha kama Ni kweli itakua vyema sana kwani Taifa lenye wasomi mbumbumbu ni Taifa hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya elimu kwa TZ inaanzia mbali tangu mtoto anapozaliwa na makuzi yake...

Hao wanaofika vyuo vikuu kama ni ujinga basi wanakuwa wametoka nao huko walikotoka na siku zote mjinga huwa haelimishwi
 
Kuna chuo kimoja kikubwa sana mdada ana first class ila majanga mpaka alie na pass anamzidi kwa kazi na uwezo kazin
 
Hapo ndio penyewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali walivuruga mitaala hasa ya shule za msingi na sekondari, hivi yule mungai kuna kitu gani alikifanya huko kwenye mitaala. Maana vijana wengi wanaohitimu kuanzia miaka ya hivi karibuni kuanzia certificate, diploma na degree ni bogus kabisa, ukilinganisha na zile diploma za zamani ambao wengi wanastaafu kwa sasa....wizara ya elimu inatakiwa ilifanyie kazi haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…