Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

Vyuo vyote Tanzania viwekwe kwenye ranking according to University standards. UK vyuo vyote viko ranked kutokana na wanafuzi wanaomaliza kwenye vyuo hivyo ni zoezi endelevu kila mwaka.
 

Mkuu sijaongelea wanasiasa, nimeongelea wakuu wa vyuo vikuu vyote.

Tetesi ni kwamba wameambiwa wakae kikao wajadili matatizo.
 
Hivi hawa wahaziri, sijui wahazili!
Ni madomo zege sana kutongoza'eh?

Kulala na mwanamke kabla haujamlainisha kwa maneno matamu na kumhonga ni ubakaji dhahiri.

Kuna hii sheria ya kuhasiwa ilijadiliwa kipindi fulani ikakosa sapoti, hii ilifaa sana kukomeshea ubazazi huu.

Akiwekwa kwenye18 akabainika, zinaenda kung'olewa anarudi kuendelea na shughuli zake bila hata kumfunga, tuone kama atajitutumua tena kufanya huo ujinga!

Adhabu hiyo pekee ndiyo ingeweza kukomesha ubakaji na udhalilishaji wa hizi rushwa za ngono kuliko hata kifungo, maana hakuna mwanaume rijali anayeweza kukubali kupoteza 'himaya' yake, ni lazima ailinde kwa gharama yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisheria adhabu inapaswa iweze kutolewa kwa mkosaji yoyote kwa namna iliyo sawa, kwa Tanzania kuna mazingira ambayo mwanamke anaweza kubaka, kama adhabu itakuwa ni kuhasi, je mwanamke ambaye kabaka watamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisheria adhabu inapaswa iweze kutolewa kwa mkosaji yoyote kwa namna iliyo sawa, kwa Tanzania kuna mazingira ambayo mwanamke anaweza kubaka, kama adhabu itakuwa ni kuhasi, je mwanamke ambaye kabaka watamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke habaki kisheria anakosa lingine... Ubakaji Ni kuingiza uume kwenye uke bila ridhaa
 
Hizo barua za amombi ya Kazi wanazianfika kuomba kazi gani?

Magu anaajiri madereva na JKT tu.
Nenda website ya utumishi utakuta kazi zinazotangamwa ni madereva
 
Swala ni mtambuka hili,Kama uko kazini (ajirani) utanielewa zaidi...graduates wetu ni nowmer.
Ni kweli. Wachache sana wanaoonekana kutenda kama wasomi wenye shahada!
Wamesoma lakini hawakuelimika. Ni wazi kuna uchochoro wa kupata hizo shahada wanazoshindwa kuzitendea haki kwenye ajira zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Maoni ya hawa wadau yaangaliwe.
 
Issue kubwa ni ulegezaji wa masharti ya kwenda vyuo vikuu na utitiri wa vyuo. Wanafunzi wenye ufaulu hafifu waanze na Astashahada au Stashahada ndiyo waende vyuo vikuu. Kuanzia Div.2.11 na Div.3 waende kusoma Diploma kwanza kabla ya kuwa enrolled vyuo vikuu. Div.4 warudie mitihani kupata sifa za kusoma Diploma au kwenda vyuo vikuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna chuo kimoja kikubwa sana mdada ana first class ila majanga mpaka alie na pass anamzidi kwa kazi na uwezo kazin
I can imagine namna hako kadada kalivyo na sura na shape kali, chakula ya wazee teh..teh..
 
Hivi hili jambo huwa linasemwa, lina ukweli wowote?

Mwanamke anabaka! Anabakabakaje kwa mfano?

Ukibadili neno na kusema anashawishi ili kuhiyari tendo ama kwa vitisho, hilo lawezekana kubaka kisaikolojia, lakini siyo kubaka live kama 'baka' tunayoiongelea.

Na ndiyo maana kuanzia mashuleni wasichana kujazwa mimba,pamoja na hii sheria kandamizi ya miaka 30 jela, inayotumika sasahivi, wanawake haiwahusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…