Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

Tena inaweza kuwa na zaidi Kwa jinsi jamaa anavonihusudu lakini Mimi Sasa sijui nimerogwa au ndio akili za kitoto
Yani nikitamkiwa ndoa mapigo ya moyo yanfika 240 Kwa saa
Mweeee hayo ndio mapenzi sasa usipopenda ndio unapendwa.
Wee olewa na huyo anayekupenda kuliko unavyompenda.
Ukienda unalopenda wewe aisee utakuja lia hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…