Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

Mabinti ambao hawajaolewa, ni kwa sababu wanaume wanaotakiwa kuwaoa wanajitafuta, lakini wengine wameshapoteza ile sifa ya kuolewa(mfano: mashangazi) ambao sasa wamejipa jukumu la kuwaoa vijana wanaojifuta
 
Ndugu mwenyekiti, vijana wengi hawajaoa kwa sababu, wanajitafuta hiyo sababu yao ya msingi.
Asante sana kwa maoni ndugu katibu,lakin vijana wa leo n waongo maisha yao ugaigai ujanja mwingi mjini,unategemea kutokea nini apo๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ