Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

Yani hata hili swali ulishindwa kuuliza mpaka nikusaidie mimi kuwa unatakiwa kuuliza?

Are you that dense?
Sikuuliza simply kwakua sikulihitaji kwangu mimi naamini hakuna hizo contra sasa niulize kutafuta nini? Ndio maana nilikwambia hizo contra ni kutokana na wewe kutokujua kitabu husika na umeshindwa kutafsiri hivyo hilo sio kosa langu bro.
 
Sasa mbona umeuliza baada ya mimi kukusema huna utashi?

Unasema hukuuliza wakati ushauliza?

Unajua hata umesiamamia wapi wewe?
 
Huo uongo tu wa kwenye makaratasi kama tulivyokuwa tunadanganywa Israel ukipiga bomu linadunda, six day war, taifa la mungu nk. Cha kushangaza kapigwa na iran akiwa kwake na vitu vimepenya wamekuja na stori eti hakuna madhara, zile stori za mabomu hayaingii zimekufa
ebu nambie amepigwa wapi ya amepata madhara gani? unajua maana ya kupigwa wewe? huwezi rushiwa mabomu mia mbili na ukaweza kuyazuia yote..Urusi ana mitambo ya kisasa zaidi duniani kuzuia makombora ya S500 lakini drone zinapiga hadi moscow na zingine zinaenda mbali zaidi ya moscow unalijua hilo mzee? we unafikiri kuzuia makombora ni rahisi kama kutengeneza uji wa kupikia vitumbua?
 
Huo uongo tu wa kwenye makaratasi kama tulivyokuwa tunadanganywa Israel ukipiga bomu linadunda, six day war, taifa la mungu nk. Cha kushangaza kapigwa na iran akiwa kwake na vitu vimepenya wamekuja na stori eti hakuna madhara, zile stori za mabomu hayaingii zimekufa
ebu tupe wewe real figure za uchumi wa israel na iran
 
Haya wafanye shime kesho asubuhi na mapema misa ya kwanza tuone breaking news Aljazeera ni watu wangapi wamewahi mabikira.
 
Back
Top Bottom