Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Elezea roho ni nini halafu thibitisha ipo.Kwanza unaelewa roho ni nini? Siwezi kukuthibitshia kitu ambacho hukijui brother.
Mimi sikubali kwamba roho ipo.
Define roho ni nini, halafu thibitisha ipo.