BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
- Iran nayo iombe msaada wa washirika wake kama inaweza.Israel hatakaa akamtisha Iran kamwe...
Kama Israel mwanaume kweli aingie vitani peke yake na Iran bila msaada wa USA na Western countries muone namna atakavyo chakazwa.
Mwanaume mzima unalialia kuomba misaada mara USA mara UK kwa nini usipigane mwenyewe? Wewe si unajisifia kuwa una jeshi Imara hapo middle East why calling for the USA and UK and Canada, France, Germany etc to support you?
Israel is a non existing state without USA and allies. But Iran kidume it stands alone...