Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Unaripoti ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshtushwa sana na heading ya threadYaani wayahudi wafanye vikao vyao uko, Afu wee mtanzania umuombe Mungu akuvushe salama! 🤔
Nakuhakikishia iran hana hiyo nguvu🤣😂 Kwani kikao cha kwanza kukaliwa na hao mashog,a baada ya kipigo kutoka Iran?
Iran imeonya wakijaribu tu kujibu watakumbana na kipondo kikali mara 1000 zaidi ya cha jana.
Sio kelele anatoa angalizo kwamba yeye hataki kufika huko mnakompeleka. Kwanza kile cha april alionya hivihivi jaman msirudie sitaki vita wameleta Shobo kaaupgrade kidogo tu kile cha april kelele dunia nzima sasa ame draw line, kiukweli ishu sio kumpiga Iran ishu ni kwamba east middle yote itachafukwa hilo waliangalie pia hawatakaa kwa amani mazayuni inaweza ikachukua miaka mingi kuwaweka sawa ila ulafi wa mazayuni wanataka pachimbike pote kumbuka watakao fungua anga wote watakua wahanga na wao hawatakubali kupigwa hivyo kumshambulia Iran will be a big mistake unless US atafaidika na hii messKama sio muoga
Baada ya kupiga angetulia asubiri majibu ya Israel kimya kimya
Sio kutupigia kelele ,😀😀😀
NakaziaWeka picha
Hujiulizi tu kama Iran asingekuwa na nguvu na tishio hadi kufikia sasa zaidi ya saa 24 hakuna reaction yoyote iliyochukuliwa.Nakuhakikishia iran hana hiyo nguvu
Eti ndio taifa teule hili na kuna mbweha kabisa anashupaza shingo kuamini upumbavu huu.Hicho kikao wapo peke Yao au na mabasha zao Marekani na uingereza?
Ehhh Mungu weeee angalia hiki nacho ni kiumbe ulichokileta duniani na hakina umuhimu wowote masikini weee!Iran nisawa na Goliati alie watisha Israel kwa miaka akaja katwa kichwa na kijana mdogo. Hakuna Taifa duniani litaweza kupigana na Israel yaani hata dunia nzima leo tuungane kupigana na Israel lazima washinde.... Mungu analiangalia neno apate kulitimiza.
Naona kobazi hapo lina meremeta
Mungu yupo mkuuMungu hayupo, hivyo hawezi kutuvusha salama.
Sema jingine.
Sunday skuul😆😆😆Iran nisawa na Goliati alie watisha Israel kwa miaka akaja katwa kichwa na kijana mdogo. Hakuna Taifa duniani litaweza kupigana na Israel yaani hata dunia nzima leo tuungane kupigana na Israel lazima washinde.... Mungu analiangalia neno apate kulitimiza.
Samahani, upo MOSSAD?? Au ndiyo yale mahaba niue! Punguza mahaba, wale ni binadamu wana sifa zote za kibinadamu! Angalia makosa waliyofanya jana na leo!Nakuhakikishia iran hana hiyo nguvu
Matango pori hayo mkuuIran nisawa na Goliati alie watisha Israel kwa miaka akaja katwa kichwa na kijana mdogo. Hakuna Taifa duniani litaweza kupigana na Israel yaani hata dunia nzima leo tuungane kupigana na Israel lazima washinde.... Mungu analiangalia neno apate kulitimiza.
Watu wana vituko sana, sisi shida zetu ni maji kuto kutoka kwa wiki kadhaa hayo ya Israel tutatazama kwenye runingaYaani wayahudi wafanye vikao vyao uko, Afu wee mtanzania umuombe Mungu akuvushe salama! 🤔