Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

Muite na yule shangazi yako wa kule namtumbo pia muende Tel Aviv mkawasaidie Israel wamezidiwa
Jerusalemu ipo salama makombora 200 mmeua mpalestina wawatu maskini mlevi yule mmoja na mmetujeruhi wawili. Wenzenu kombora Moja tuliua mkuu wa magaidi, mwanae na maafisa muhimu. Sisi si kama nyie.
Pikeni ubwabwa bwana maana Jana mmejitahidi
 
Sulbakheri mwamba! Huu mchezo hawauwezi na hawatokuja kuuweza
Israel ni habari nyingine
Nawaza sana pale Irani nani atapigwa
Mohamed ahdenijad ni rafiki yangu.
Ayatollah khominei sijui kama aliruhusu huu upuuzi wa kitoto wa Jana.
Watu wote wa irani na nchi jirani mtalipa Kwa huu ujinga.
Ila hii shoo angekuwepo sadam ingenoga sana ila Israel atabaki kuwa mbabe wa wa wakati wote

Kaka shikamooo, Mtu wa maana kabisa,🤣🤣🤣🤣

Wasubirie kikao kimalizike ndipo watajua hicho kikao kinaumuhimu Gani mbwa wale
 
Sulbakheri mwamba! Huu mchezo hawauwezi na hawatokuja kuuweza
Israel ni habari nyingine
Nawaza sana pale Irani nani atapigwa
Mohamed ahdenijad ni rafiki yangu.
Ayatollah khominei sijui kama aliruhusu huu upuuzi wa kitoto wa Jana.
Watu wote wa irani na nchi jirani mtalipa Kwa huu ujinga.
Ila hii shoo angekuwepo sadam ingenoga sana ila Israel atabaki kuwa mbabe wa wa wakati wote
Ni mara ya kwanza Iran kummiminia mvua ya makombora moja kwa moja Israel?

Si alipigwa makombora mia tatu zaidi ya jana na aliufyata?

Ulikuwa bado hujazaliwa? Hii ni Iran mkuu mataifa yote ya ulaya na Marekani walikaa na mwanaume mmoja kumuomba apunguze urutubishaji wa uranium lakini aliwavimbia na hakuna kitu wamemfanya.
 
Sawa sawa
 
Israel hatakaa akamtisha Iran kamwe...

Kama Israel mwanaume kweli aingie vitani peke yake na Iran bila msaada wa USA na Western countries muone namna atakavyo chakazwa.

Mwanaume mzima unalialia kuomba misaada mara USA mara UK kwa nini usipigane mwenyewe? Wewe si unajisifia kuwa una jeshi Imara hapo middle East why calling for the USA and UK and Canada, France, Germany etc to support you?

Israel is a non existing state without USA and allies. But Iran kidume it stands alone...
Mnaanza kuhamisha magoli na kutafuta vichaka vya kujificha.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.

Tuombe Mungu atuvushe salama

Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Mmmmh umejuaje?
 
Wafuasi wote wa shetani duniani kote wanaiombea mabaya Israel, lakini watashindwa.
Kama huyo Mungu wenu mnaemuabudu anayabariki mauaji ya watu wasio na hatia basi atakuwa lofa, ni bora tuwe upande wa huyo mnaemuita shetani, ambaye hahusiki na majanga.

Anyway muafrika unapata wapi maumivu ya kuwalilia wazungu&waarabu kama sio unafiki? Lilieni ndugu zenu hapo Congo&Sudan, mambo ya waisrael wa mchongo hayawahusu
 
Acha iwake

1000012775.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.

Tuombe Mungu atuvushe salama

Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Wa USA NA UK PIA WAMO
 
Umetoka kwenye Andaki mkuu?
 
Isha Mashauzi wa Middle East Bi Netanyahu hajashiriki? Au kaenda kufanyiwa operation nyingine ya tezi dume?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.

Tuombe Mungu atuvushe salama

Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
War council
 
Back
Top Bottom